Joy FM

Uncategorised

1 May 2024, 13:29

Dc kasulu akerwa na vitendo vya uvunjifu wa amani

Vitendo vya wizi na uharifu kwenye jamii wilayani kasulu vimeendelea kuumiza vichwa kwa viongozi huku wananchi wakiendelea kuumia kwa mali zao kuibiwa na wengine kuharisha maisha yao. Na Michael Mpunije – Kasulu Wananchi wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kutoa taarifa…

1 May 2024, 13:06

Shilingi bilioni 2.7 kutekeleza miradi ya afya na elimu kibondo

Serikali imesema itaendelea kusimamia na kutoa kipaumbele kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo ili kuwafikishia huduma wananchi. Na James Jovin – Kibondo Halimashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma kupitia ruzuku ya serikali kuu imepokea fedha kiasi cha shilingi bilioni 2.7…

1 May 2024, 10:31

Wavuvi mialoni wageuka mwiba kwa wanawake

Vitendo vya ukatilii hasa kubakwa maeneo ya mialo mbalimbali mwambao wa ziwa tanganyika vimeendelea kuacha kovuna simanzi kwa wananwake wanaojishughulisha na uchakataji wa mazao ya samaki. Na Kadislaus Ezekiel – Kigoma Wanawake Wanaochakata Mazao ya Uvuvi Katika Ziwa Tanganyika Mkoani…

1 May 2024, 10:07

Vijana wa JKT Bulombora lindeni amani, acheni dawa za kulevya

Vijana waliohitimu mafunzo ya kijeshi Katika kambi ya jeshi la kujenga taifa  821 KJ Bulombora iliyopo wilayani Kigoma Mkoani Kigoma wametakiwa kuwa wazalendo Katika kuilinda Nchi kama sehemu ya kiapo walichopewa wakati wa mafunzo hayo. Na Tryphone Odace – Kigoma…

30 April 2024, 07:22

Wachungaji walia na ukata makanisani

Ili kuakabiliana na umasikini ambao umekuwa ukisumbua watumishi wa mungu, wameshauriwa kubuni na kuanzisha miradi ya maendeleo ili kuwasaidia kuinua uchumi wao. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wachungaji wa kanisa la Anglikana Dayosisi ya Western Tanganyika mkoani Kigoma wameshauriwa kufanya…

29 April 2024, 14:52

Wafanyabiashara Kigoma waikaba shati serikali, wagoma kuhama

Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali mkoani Kigoma zimesababisha maji kujaa kwenye mwalo na kuharibu miundombinu ya bandari ndogo ya Kibirizi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji. Na Kadilsaus Ezekiel – Kigoma Wafanyabiashara  wa  mazao ya uvuvi na  mbogamboga  waliovamiwa na maji…

26 April 2024, 16:19

Wananchi watakiwa kuulinda na kudumisha muungano

Wananchi wametakiwa kuendelea kuuenzi muungano kwa kutimiza wajibu na kutenda haki kama chachu ya kuhimiza maendeleo kwa watanzania. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mkuu wa mkoa wa Kigoma Kamishna jenerali mstaafu wa jeshi la zimamoto na uokoaji Thobias Andengenye amewataka…

26 April 2024, 12:12

Ruwasa Kigoma: Tunazalisha maji lita elfu 42 kwa siku

Wadau wa maji Manispaa ya kigoma ujiji wameomba serikali kupitia mamlaka ya maji na usafi wa mazingira kuhakikisha inafikisha maji kwa wananchi ili kuondoa adha ya kutumia maji ya isima na mito. Na Lucas Hoha – Kigoma. Serikali imeondoa changamoto…

26 April 2024, 09:39

“Nchi yetu imeanza kuchukua hatua,matumizi ya gesi”

Matumizi ya nishati ya kupikia itasaidia kutunza mazingira yetu kwani kwa sasa mafuriko tunayoyaona ni matokeo ya uharibifu wa mazinira na misitu kwa kukata miti na misitu. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wananchi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kutumia nishati…

25 April 2024, 16:57

Makala: Tamu na chungu za Muungano

Ikiwa ni miaka 60 tangu Tanganyika na Zanzibar zilipoungana, wananchi wa Tanzania Bara na Zanzibar wamefunguka kuelezea changamoto lakini pia umuhimu wa Muungano huo. Makala hii iliyoandaliwa na Filbert Gabriel inasomwa kwako na Timotheo Leonard wa Joy FM.