Joy FM

Siasa

10 May 2024, 16:00

DC Kasulu: Wakulima msiuze mazao kiholela

Katika kukabiliana na njaa pamoja na uhaba wa chakula serikali imewahimiza wakulima kuhakikisha hauwazi mazao kiholela. Na Hagai Ruyagila Wakulima wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuepuka kuuza mazao yao ili kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa chakula. Rai hiyo imetolewa…

10 May 2024, 15:16

Wakimbizi waaswa kuacha uharifu kambini nyarugusu

Serikali ya tanzania kwa kushirikiana na mashirika ya umoja wa mataifa yamekemea vikali vitendo vya baadhi ya wakimbizi wanaojihusisha uhalifu ndani na nje ya kambi hiyo kwani imekuwa ikihatarisha amani kwa wenyeji wa tanzania. Na Kadislaus Ezekiel – Kasulu Wakimbizi…

9 May 2024, 11:47

Serikali yapata mwarobaini ziwa Tanganyika kujaa maji

Wafanyabiashara wanaofanya biashara katika mialo mbalimbali ya ziwa tanganyika wameomba serikali kuangalia namna ya kutenga eneo rafikikwao ili waweze kufanya biashara zao kwani maeneo ya sasa yamejaa maji kutokana na ziwa kuja maji na kuvuka kingo za ziwa. Na Lucas…

6 May 2024, 17:06

ACT Wazalendo yampitisha zito kuwa rais

Kiongozi wa cha ACT wazalendo Zitto Zuberi Kabwa amesema kama atagombea urais mwaka 2025 kama wananchi na wanachama wa chama hicho watampa ridhaa ya kuwaongoza. Na Kadislaus Ezekiel – Kigoma Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar…

12 March 2024, 13:24

Madiwani Kibondo wasisitiza upatikanaji wa dawa muhimu

Madiwani katika halmashauri ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wameitaka idara ya afya wilayani humo kuhakikisha dawa muhimu zinapatikana muda wote katika zahanati, vituo vya afya na hospitali ya wilaya ili kuondoa usumbufu kwa wagonjwa  hasa wajawazito, watoto na wazee.…

15 January 2024, 10:10

Mpango awataka vijana kuepuka lugha chafu mitandaoni

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.Philipo Mpango Amewataka vijana kote nchini kuachana na matumizi ya lugha zenye viashiria vya uchochezi wa uvunjifu wa amani hasa wakati huu ambao Taifa linajiandaa na uchaguzi wa serikali za mitaa.…