Umeme
25 November 2021, 13:17 pm
Mafundi umeme wa Mtwara na Lindi wapewa elimu
Nawaomba wananchi kuwatumia mafundi Umeme walio na leseni, wao ndio wenye ufanisi wa kazi ambao tunawatambua na itasaidia endapo mtu utapata changamoto una uwezo wa kuja EWURA kufungua malalamiko tofauti na yule ambae amefanyiwa kazi na fundi ambae hana leseni.…
4 July 2021, 16:59 pm
Umeme kumfikia kila mwananchi Tanzania nzima-Naibu waziri Nishati
Na Gregory Millanzi NAIBU Waziri wa Nishati Stephen Byabato amesema, Serikali itahakikisha kuwa, Nishati ya Umeme inamfikia kila mwananchi kupitia njia mbalimbali ili maendeleo ya Viwanda yaweze kuonekana kwa uhasilia. Hayo yameelezwa leo na Naibu Waziri huyo wa Nishati wakati…
28 June 2021, 06:29 am
WAJIFUNGUA KWA TOCHI MTWARA
Na Karim Faida Wanawake wa kijiji cha Kilombero kata ya Mahurunga mkoani Mtwara wameiomba serikali kuwawekea umeme katika Zahanati ya kijiji hicho kwa kuwa wanapitia mazingira Magumu ya kujifungualia kwa mwanga wa tochi za simu majira ya usiku na nguzo…
5 May 2021, 12:33 pm
Bodi ya wakurugenzi TANESCO yafanya zira Mtwara
Na Gregory Millanzi Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya shirika la umeme Tanzania (TANESCO) Dkt Alexander Kyaruzi akiambatana na wajumbe wa bodi hiyo, amewataka wawekezaji kuwekeza Mtwara na Lindi kutokana na uwepo wa Nishati ya umeme wa kutosha. Amesema kuwa…
6 March 2021, 13:54 pm
TANESCO Mtwara wapewa siku 10 kukarabati mitambo ya kufua umeme
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ametoa agizo la kuhakikisha ndani ya siku 10 mashine mbili za kufua na kuzalisha umeme wa gesi asilia zinakamilika ili kuongeza upatikanaji wa umeme wa uhakika kwa Mtwara na Lindi. Waziri Kalemani ametoa agizo…