Jamii FM
Jamii FM
16 December 2025, 16:59 pm
Ujenzi wa kiwanda cha Tells One General Supply Mahuta wilayani Tandahimba mkoani Mtwara umeleta faraja kwa akina mama na wabanguaji wadogo wa korosho. Kiwanda hicho kimewezesha upatikanaji wa soko, ajira na kuboresha maisha ya wananchi hususan wanawake wa eneo hilo…
13 December 2025, 11:55 am
Taassisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Naliendele imefanya mkutano wa mwaka na wadau wa kilimo kuwasilisha matokeo ya tafiti na kujadili mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa, huku ikilenga kuongeza uzalishaji wa zao la korosho msimu…
12 December 2025, 19:30 pm
Waziri wa Kilimo, Daniel Chongolo, alifanya ziara ya kikazi Mtwara kufuatilia msimu wa korosho 2025/2026, kuhimiza ruzuku ya pembejeo kwa wakulima, kuanzisha teknolojia ya ndege nyuki kupulizia dawa, na kuagiza TARI-Naliendele kufanya utafiti wa changamoto za korosho kutokana na mvua…
9 November 2025, 12:14 pm
Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) imeruhusu usafirishaji wa korosho saa 24 kwa mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara ili kuharakisha uondoaji wa mizigo na kuongeza ufanisi wa Bandari ya Mtwara. Katika mnada wa kwanza, TANECU iliuza tani 26,000 kwa bei…
9 November 2025, 09:31 am
Wakulima wa korosho wilayani Tandahimba wamepokea kwa mitazamo tofauti bei ya zao hilo katika mnada wa kwanza wa msimu 2025/2026, ambapo kilo moja imenunuliwa kwa bei ya juu ya shilingi 3,520 na ya chini shilingi 2,550, huku wakitaka wanunuzi kuongeza…
20 October 2025, 10:50 am
Zaidi ya makampuni 88 yamejisajili kununua korosho msimu wa 2025/2026. Bodi ya Korosho Tanzania yatoa onyo kwa wanunuzi wasio rasmi na kusisitiza matumizi ya mfumo wa TMX kuhakikisha wakulima wanapata bei bora Na Musa Mtepa Wakati wakulima wa korosho wakiendelea…
19 October 2025, 10:05 am
Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) imetangaza kuwa minada ya korosho kwa msimu wa 2025/2026 itaanza Oktoba 31, 2025. Wakulima wametakiwa kuzingatia ubora wa korosho na kuepuka kuuza kwa kangomba, huku minada ikiendeshwa kwa njia ya mtandaoni chini ya usimamizi wa…
5 October 2025, 11:45
kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika tarehe 29,Oktoba 2025 viongozi wa dini wameendelea kuhimiza waumini kuombea taifa ili kuvuka salama. Na Ezekiel Kamanga Mchungaji Nelson Mwaisango Mwenyekiti pia Katibu mstaafu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini amewataka waumini wa…
2 October 2025, 13:29 pm
Bandari ya Mtwara imeongeza usafirishaji wa mizigo kwa asilimia 49 kati ya 2023/2024, ikihusisha korosho na makaa ya mawe, huku idadi ya makampuni ya meli ikiongezeka Na Gregory Milanzi Mtwara-September 29,2025 – Ukusanyaji na usafirishaji wa mizigo kupitia Bandari ya…
September 21, 2025, 8:56 pm
Umoja wa Machifu umefanya dua maalumu kusisitiza amani, utulivu na mshikamano Na Devi Mgale UMOJA wa Machifu Mkoa wa Songwe umefanya dua maalumu ya kuombea uchaguzi wa mwaka huu uwe wa amani na utulivu. Dua hiyo imefanyika Septemba 20, katika…