Jamii FM

Community media

8 November 2020, 14:43 pm

Athari za ulaji wa Udongo kwa Wanawake wajawazito

 Wanawake wajawazito wanautamaduni wa kula udongo bila kujua athari zake, hapa utawasikia wanawake na Daktari akielezea athari hizo kwa mama na mtoto aliye tumboni. Karibu kwenye kipindi maalum, Muandaaji na msimulizi wako ni Karim Faida wa jamii fm radio Mtwara.

2 November 2020, 13:07 pm

Wanakijiji waomba umeme na maji.

Wananchi wa kijiji cha maili kumi kata ya Mbawala Halmashauri ya wilaya ya Mtwara wameomba kupatiwa huduma ya maji na nishati ya umeme kwenye kijiji chao, hali ambayo imekuwa ikiwachelewesha maendeleo  na kudumaza hali ya kijiji. Nishati ya umeme imepita…

22 October 2020, 09:10 am

TADIO yaziwezesha radio za Jamii kuweka maudhui mtandaoni

Mtandao wa radio za jamii nchini Tanzania (TADIO) imeziwezesha radio wanachama kurusha maudhui ya matangazo ya moja kwa moja kupitia mtandao, utakaoweza kuwafikia wasikilizaji wengi ndani ya nchi na nje ya mipaka ya Tanzania. Mafunzo ya siku mbili yakuziwezesha radio…