Huheso FM

Uncategorized

April 21, 2021, 5:08 pm

Mchinjaji wa Nguruwe akamatwa na TAKUKURU Manispaa ya Kahama

Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) wilayani Kahama imebaini uchinjaji wa mifugo kiholela ikiwemo iliyokufa hali ambayo inahatarisha afya za watumiaji wa nyama ambazo zinauzwa bila kufanyiwa uchunguzi na maafisa mifugo. Mkuu wa TAKUKURU, Abdallah Urari amesema walipokea…

April 20, 2021, 12:18 pm

Miundo mbinu ya barabara yawa changamoto kwa wananchi

Wananchi wa Mtaa wa Malunga Kata ya Malunga  iliyopo Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga wanakabiliwa na changamoto ya miundombinu ya barabara katika maeneo yao. Wakizungumza kwa nyakati tofauti na HUHESO FM wananchi wa Mtaa huo wamesema changamoto ya miundombinu ya…

April 12, 2021, 6:38 pm

Utamaduni wa ukeketaji wahatarisha maisha ya watoto wa kike Tarime.

Kituoa Cha ATFGM Masanga kilichopo wilayani Tarime Mkoani Mara kinasomesha zaidi ya watoto 100 katika shule mbalimbali waliokimbia kufanyiwa ukeketaji. Meneja Miradi wa ATFGM Masanga, Valerian Mgani amesema miongoni mwa watoto wanaowasomesha familia zao zimekataa kuwapokea kwa kukimbia kufanyiwa ukeketaji…

April 12, 2021, 5:05 pm

Manispaa ya Kahama yaanza utoaji wa hati ya Ardhi

Kufuatia tamko la waziri wa Ardhi Nyumba na maendeleo ya makazi William Lukuvi kuwataka wananchi kupima viwanja na kila mwenye kiwanja kumiliki hati ya Ardhi wananchi katika Manispaa ya Kahama wametakiwa kujitokeza kuchukua hati zao kwa wale waliolipia. Kauli hiyo…