Uncategorized
May 13, 2021, 1:01 pm
Wilaya ya Kahama inakabiliwa na uhaba wa damu salama
Hospitali ya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga inakabiliwa na uhaba wa damu salama huku wananchi wilayani humo wakiombwa kuendelea kujitokeza kuchangia damu. Hayo yamesema na mratibu wa damu salama hospitali ya Wilaya ya Kahama, God Abdallah amesema uhitaji wa damu…
May 7, 2021, 1:50 pm
Wazee Wilayani Kahama watakiwa kujiwekea akiba ya pesa
Wazee wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kujiwekea akiba ya pesa ili bima inapoisha muda wake waweze kujilipia wao wenyewe pasipo kusubiri kila mwaka kulipiwa na wadau mbalimbali. Kauli hiyo imetolewa na Mustahiki Meya wa Manispaa ya Kahama, Yahaya Bundala na…
May 4, 2021, 3:42 pm
Wasio na taaluma ya Habari watajwa kuharibu tasnia hiyo Kahama.
Mkuu wa wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Anamringi Macha amewataka waandishi wa habari kuhakikisha wanawaondoa waandishi wa habari wasiokuwa na taaluma hiyo ambao wamekuwa wakiharibu tasnia hiyo kwa kuandika habari za uongo. Mkuu huyo wa wilaya ametoa kauli hiyo wakati…
April 30, 2021, 11:13 am
Wakulima wa mazao ya nafaka manispaa ya Kahama watakiwa kuvuna mazao yaliokomaa
Wakulima wa mazao ya nafaka katika halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuvuna mazao yao yakiwa yamekomaa na kukauka ipasavyo. Kauli hiyo imetolewa na Afisa Kilimo wa Manispaa ya Kahama Samson Sumuni ambaye amesema wakulima wanatakiwa kuhakikisha mazao…
April 28, 2021, 5:33 pm
Wananchi walalamikia miundombinu mibovu ya barabara kwa kukwamisha shughuli zao.
Wananchi wa Mtaa wa Inyanga Kata ya Nyihogo halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wameiomba serikali kuwatengenezea barabara ya kutoka Mhungula kwenda mwime ambayo imeharibika kwa kiwango kikubwa na kuwa changamoto kwao. Wakizungumza wananchi hao wamesema suala la miundombinu…
April 28, 2021, 5:23 pm
Wafanyabiashara Kazaroho Manispaa ya Kahama wamuomba Mkurugenzi kuvunja masoko.
Wafanyabiashara wa soko la Kazaroho wamuomba mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya soko pamoja na kuyaua masoko yaliyopo pembezoni mwa soko hilo yasiyo rasmi. Wakizungumza baadhi ya wafanyabiashara wa soko hilo wamesema awali walitolewa…
April 28, 2021, 2:18 pm
TBS yatoa mafunzo ya vifungashio kwa wajasirimali wa mchele Kahama
Wajasiliamali 100 ambao ni wasindikaji, wauzaji na wasambazaji wa Mchele Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wamepatiwa mafunzo kuhusu kanuni bora za uzalishaji na taarifa za msingi zinazotakiwa kuwepo kwenye vifungashio na shirika la viwango nchini TBS. Mafunzo hayo yametolewa kwenye…
April 26, 2021, 5:19 pm
Uongozi wa Skauti Kahama waonywa kwa kushindwa kusimamia majukumu yake.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Annamringi Macha ameukosoa uongozi wa chama cha skauti ngazi ya Wilaya ya Kahama kwa kushindwa kusimamia na kuendeleza skauti kwa baadhi ya shule. Mkuu huyo wa Wilaya ameyasema hayo wakati akifungua mafunzo ya…
April 26, 2021, 5:04 pm
RPC Shinyanga “Madereva tumieni hekima kuendesha magari yenu”
Kamanda wa jeshi la Polisi mkoani Shinyanga ACP Debora Magiligimba amefanya ukaguzi wa kushtukiza kwa mabasi yaendayo mikoani kutoka Kituo Cha Mabasi Kahama mkoani humo. Akizungumza na madereva na kutoa elimu ya usalama barabarani kwa abiria kamanda Magiligimba amesema magari…
April 23, 2021, 10:36 am
”Madiwani tungeni sheria ndogo ndogo za ujenzi holela” DC Kahama.
Madiwani wa Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga wameshauriwa kutunga sheria ndogo ndogo za ujenzi holela bila vibali kwa wananchi kupitia kwa mkurugenzi wa Manispaa hiyo. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mkoani Shinyanga Annamringi Macha wakati wa Baraza…