Dodoma FM

Zabibu

21 October 2025, 3:21 pm

Wakulima wa zabibu wapatiwa mafunzo kuongeza ujuzi

Picha ni baadhi ya wakulima wasindikizaji wa zabibu katika mafunzo ya kuongeza ujuzi Picha na Selemani Kodima. Katika mafunzo hayo yaliyofanyika Hombolo, jijini Dodoma jumla ya wakulima 70 wamepatiwa mafunzo hayo kwa ajili ya kuongeza thamani ya zao la zabibu.…

9 October 2025, 3:42 pm

Mradi wa zabibu Hombolo kuleta neema kwa wakulima

Picha ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule wakati wa ziara yake katika eneo la Hombolo. Picha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Aidha, amesema mradi huo ni wa mfano wa kuigwa nchini, na utawasaidia wakulima wengine kujifunza…

3 December 2024, 11:43 am

Serikali kuendeleza ushirikiano na wajariamali wa Zabibu

Serikali imeendelea kuwataka wawekezaji wengi kuja kuwekeza katika Mkoa wa Dodoma. Na Fred Cheti.Serikali imeahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa wajasirimali wadogo,wakati na wakubwa wa zao la zabibu ili kuzidi kukuza biashara hiyo pamoja uchumi wa nchi kwa ujumla. Naibu Waziri…

4 April 2024, 5:39 pm

Halmashauri ya Dodoma yaongeza uzalishaji wa Zabibu

Katika kipindi cha miaka 3kuanzia 2021-2024 miche 113,306 imeweza kuzalishwa. Na Fred Cheti.Halmshauri ya jiji la Dodoma imefanikiwa kuongeza uzalishaji wa zao la zabibu ambalo ndio zao kuu la kimkakati katika jijini la Dodoma . Hayo yameelezwa na bi Yustina…