Dodoma FM

Watoto

5 December 2024, 12:27 pm

Wakulima wageuka mbogo Geita

Serikali imetakiwa kutatua migogoro mapema kabla ya watu kuanza kujichukulia sheria mkononi hali ambayo inaweza kusababisha uvunjifu wa amani. Na Kale Chongela: Wakulima wa Kata ya Bombambili halmashauri ya mji wa Geita Mkoani Geita wameiomba serikali kuchukua hatua za haraka…

3 December 2024, 11:11 am

Ukali kupitiliza wa wazazi watajwa kuwaathiri Watoto kisaikolojia

Wazazi wameombwa kutoa taarifa kwa haraka katika vyombo vya sheria endapo atagundua mtoto amefanyiwa ukatili. Na Anwary Shaban .                    Imeelezwa kuwa kutokuwa na uhusiano mzuri  kati ya wazazi na watoto ni chanzo cha Watoto kushindwa kuwa karibu na wazazi wao.…

3 October 2024, 8:10 pm

Mimba za utotoni bado ni tatizo kwa taifa

Na Lilian Leopold         Tatizo la mimba za utotoni limekuwa ni suala endelevu katika jamii nyingi nchini Tanzania. Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi Dodoma kutoka Dawati la Kijinsia Bwn. Michael Nkinda amebainisha sababu mbalilmbali zinazopelekea kuwepo kwa tatizo hilo miongoni mwa…

8 July 2024, 4:23 pm

Wazazi watakiwa kuwapatia watoto haki ya kupata elimu

Sera ya elimu jumuishi imekuwa mkombozi kwa watoto wote kufurahia elimu pamoja. Na Mariam Kasawa.Wazazi wametakiwa kutambua kuwa haki ya kupata elimu ni yakila mtoto hivyo wanapaswa kuwaacha watoto wasome na kuwapatia mahitaji yote muhimu. Sera ya elimu jumuishi imekuwa…

12 April 2022, 4:26 pm

Serikali idhibiti ongezeko la watoto wa mitaani

Na; Shani Nicolous. Wakati siku ya mtoto anayeishi na kufanya kazi  mtaani ikiadhimishwa kimataifa serikali imeombwa kuongeza nguvu na itilie mkazo jambo la kudhibiti  ongezeko la watoto wa mtaani. Akizungumza na kituo hiki Elizabeth Msuya kutoka Taasisi isiyo ya kiserikali…

6 April 2022, 3:22 pm

Wazazi watakiwa kuwapeleka watoto katika vituo vya Afya

Na;Yussuph Hassan. Wazazi na walezi Mkoani Dodoma wameshauriwa kuhakikisha wanawapeleka Watoto wao katika vituo vya afya kufanya uchunguzi wa Magonjwa mbalimbali ambayo mara nyingi huwa kama yamesahauliwa katika jamii. Akizungumza na kituo hiki Dkt Matthew Gaudance kutoka kituo cha Afya…