Dodoma FM
Dodoma FM
19 November 2025, 3:50 pm
Hata hivyo, wapiga picha hao wameeleza kuwa wanakabiliwa na changamoto kadhaa, ikiwemo kutolewa maneno ya kashfa na baadhi ya wateja pindi wanapojaribu kuonesha ubunifu wao kwa lengo la kuwashawishi kupata huduma. Na Farashuu Abdallah.Katika jitihada za kupambana na changamoto ya…
18 November 2025, 10:20 am
Kurunzi maalum Elimu ya kijinsia ni mchakato wa kujifunza na kupata maarifa, stadi na mitazamo sahihi kuhusu masuala yote yanayohusu jinsia ya binadamu. Sikiliza makala hii kwa elimu zaidi. Lengo la msingi wa elimu ya jinsia ni kuwapa watu uwezo…
12 November 2025, 1:13 pm
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kukevya (DCEA) imesema kundi la vijana wasomi wa vyuo vikuu ndio linaloongoza kwa matumizi makubwa ya dawa za kulevya ikiwemo uchepushwaji wa kemilaki bashirifu na dawa tiba zenye asili ya kulevya. Na…
5 November 2025, 4:17 pm
Aidha Mtahu ameshauri vijana kujituma katika umri wao kwani wakati huo hukutana na watu wengi ambao wangeweza kuwasaidia kutokana na nguvu kazi waliyo kuwanayo. Na Farashuu Abdalah. Vijana wametakiwa kufanya kazi kwa bidii ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza hapo baadae…
28 October 2025, 9:46 am
Na Marino Kawishe Kampeni za mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM jimbo la Babati Vijijini zimehitimishwa rasmi octoba 27,2025 ambapo Zaidi ya wapiga kura laki mbili na elfu kumi na mbili wanatarajiwa kupiga kura katika jimbo hilo…
27 October 2025, 12:54 pm
Siku moja kabla yakufungwa kwa kampeni za Wagombea urais, wabunge na madiwani wananchi wa kata ya Secheda, Dabil na Madunga zilizopo katika jimbo la Babati Vijijini wametakiwa kutumia haki yao ya kikatiba kupiga kura hapo October 29. Wito huo umetolewa…
27 October 2025, 12:01 pm
Watanzania kote Nchini wametakiwa kuendelea kuliombea taifa Wakati huu Nchi ikielekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika October 29 mwaka huu. Akizungumza na Wananchi waliojitokeza kwenye mkutano maalumu wa maombi wakuliombea taifa uliofanyika katika kata ya…
24 October 2025, 12:35 am
Zikiwa zimesalia siku tano kabla ya uchaguzi mkuu wa kumchagua Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika October 29 mwaka huu hapa Nchini, Watanzania wamehimizwa kujitokeza na kupiga kura kwa wingi. Na Marino Kawishe Akizungumza na wananchi wa kata ya Ayalagala …
22 October 2025, 10:58 pm
Wananchi wa kata ya magugu wametakiwa kujitokeza kupiga kura kwa amani na utulivu kwani hakuna yeyote atakayefanya fujo bila kuchukuliwa hatua kali za kisheria kwenye uchaguzi huo ambo umepangwa kufanyika October 29 mwaka huu. Na Marino Kawishe Akiwahutubia Wananchi wa…
21 October 2025, 11:13 pm
Na Marino Kawishe Mgombea ubunge kwa tiketi ya chama cha mapinduzi CCM jimbo la uchaguzi la Babati Vijijini Danieli Baran Sillo ameendelea kunadi ilani ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika October 29, kwa wananchi wa kata ya Magara…