Dodoma FM
Dodoma FM
10 December 2025, 3:53 pm
Ili kupunguza athari zitokanazo na matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii wameshauri ni vyema elimu ikaotolewa ili kupunguza madhara yanayoweza kujitokeza. Picha na Mtandao. Asilimia 95% ya vijana wenye umri wa miaka 13–17 hutumia mitandao ya kijamii kama TikTok, Instagram,…
5 December 2025, 4:50 pm
Wananchi mkoani Manyara wametakiwa kuitunza amani ya Tanzania na kuepukana na vurugu zinazosababishwa na baadhi ya watu wachahe ili kuijenga Tanzania yenye maendeleo. Na Angel Munuo Hayo yamesemwa leo na Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa chama cha mapinduzi…
5 December 2025, 2:40 pm
Muandishi wetu Benard Komba amefanya mahojiano na Mchambuzi wa masuala ya kisiasa na Jamii Ismail Mussa ameanza kumuuliza Je Ni vipi vipaumbele vikuu katika wizara hiyo ikiwa ni wizara mpya? Na Bennard Filbert.Serikali kupitia wizara ya vijana ofisi ya Rais…
4 December 2025, 1:20 pm
Vijana wenye umri wa miaka 15–24 bado wako katika hatari kubwa ya kupata maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), huku vijana wa kike wakichangia takribani asilimia 80 ya maambukizi mapya. Picha na Mtandao. Miongoni mwa sababu nyingine ambayo inaelezwa ni…
2 December 2025, 12:48 pm
Picha ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) William Lukuvi, katika Madhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani. Picha na Jambo Tv. Hapo jana Desemba 1,2025 katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani, Serikali imesema…
1 December 2025, 1:01 pm
Picha ni ofisi ya Taasisi ya Maendeleo ya Vijana Mkoa wa Dodoma inayopatikana kata ya Miyuji mtaa wa Mailimbili. Picha na Lilian Leopold. Takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 zinaonyesha Tanzania ina zaidi ya vijana milioni…
26 November 2025, 2:04 pm
Hata hivyo, sekta hii inakabiliwa na changamoto za usalama, ushindani, gharama za uendeshaji na mahitaji ya kisheria. Na Mariam Kasawa.Vijana wametakiwa kujituma katika shughuli mbalimbali ili kujikwamua kiuchumi na kuacha kuamini kwamba kazi ya bodaboda ni suluhisho pekee kwa kila…
25 November 2025, 2:19 pm
Ni wajibu wa vijana kuhudhuria mikutano ya mtaa ili kupata nafasi ya kushiriki kikamilifu katika shughuli za kimaendeleo. Na Lilian Leopold.Vijana wametakiwa kuongeza ushiriki wao katika mikutano ya mtaa ili kufahamu fursa zilizopo kwenye jamii na kupata nafasi ya kuwasilisha…
21 November 2025, 3:18 pm
Iwapo vijana watawezeshwa na kupata mafunzo ya teknolojia, zaidi ya asilimia 60 wanaweza kuingia rasmi kwenye ajira za kidijitali. Na Seleman Kodima.Imeelezwa kuwa zipo fursa nyingi zinazoweza kupatikana kupitia teknolojia na kusaidia vijana kujiingizia kipato. Katika mjadala uliofanywa na mwandishi…
November 20, 2025, 3:02 pm
Asajile amekuwa akiwasoma Ng’ombe wake tabia hii humsaidia kupata maziwa kwa wingi zaidi Na Anyisile Fredy MKAZI na mfugaji wa ng’ombe wa maziwa mjini Vwawa Mbozi Mkoani Songwe, Mikaya Asajile amesema amewagundua ng’ombe wake kwamba wanapenda muziki wakati wa kukamuliwa.…