Dodoma FM

uchumi

12 July 2021, 1:16 pm

Wanaume Bahi wadaiwa kufanya unyanyasaji wa kiuchumi

Na; Shani Nicolous. Baadhi ya wanaume katika kata ya Bahi Wilaya ya Bahi, Mkoani Dodoma wanadaiwa kufanya unyanyasaji wa kiuchumi katika familia zao hususani katika kipindi hiki cha msimu wa mavuno. Hayo yamesemwa na Diwani wa kata hiyo Bw. Agustino…

17 May 2021, 1:40 pm

Imani ndogo usimamizi wa fedha changamoto kwa wanawake

Na; Yussuph Hans Ujuzi wa usimamizi wa masuala ya fedha pamoja na kukosa umiliki wa uchumi ni baadhi ya changamoto ambazo zimeendelea kuwakumba Wanawake Nchini. Licha ya changamoto hizo kumekuwepo na kundi la wanawake ambao wanamiliki Uchumi kupitia Ajira katika…

4 May 2021, 11:51 am

NGOs zatakiwa kusimamia miradi inayo lenga kuwasaidia wananchi

Na; Mariamu Matundu. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto anayeshughulikia Maendeleo ya Jamii, Mwanaidi Ali Khamis ameyaagiza Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) nchini kuhakikisha miradi yanayoisimamia inalenga kuwasaidia wananchi ili waweze kujikwamua kiuchumi. Naibu Waziri…

8 April 2021, 1:46 pm

Tanzania kujenga uchumi shindani wa viwanda

Na; Mindi Joseph Serikali imesema inaendelea na maandalizi ya mikakati ya utekelezaji wa mpango wa 3 wa maendeleo wa Taifa kwa kipindi cha miaka 5 unaolenga kujenga uchumi shindani wa viwanda kwa maendeleo ya watu. Mapendekezo ya mpango huo yamesomwa…

8 April 2021, 12:00 pm

ATCL yatengeneza hasara, ripoti ya CAG

Na; Yussuph Hans. Imeelezwa kuwa kwa Miaka Mitano mfululizo shirika la Ndege Tanzania ATCL imetengeza hasara ambapo kwa mwaka huu limesababisha hasara ya shilingi Bilioni sitini (60 ) na Milioni miambili arobaini na sita (246). Hayo yamebainishwa  mbele ya waandishi…

8 April 2021, 9:28 am

Marufuku ya vifungashio kufika tamati Kesho Aprili 9

Na; Mariam Matundu Ikiwa leo ni  siku ya mwisho ya kuwepo kwa vifungashio visivyokidhi viwango vya ubora sokoni ,vifungashio vipya vinavyokidhi viwango vya ubora tayari vimeanza kupatikana sokoni. Hayo yamezungumzwa na Afisa mazingira kutoka ofisi ya makamu wa rais muungano…

30 March 2021, 11:43 am

Shughuli ndogondogo ni chachu ya kujikwamua kwa walemavu

Na; Thadey Tesha Wito umetolewa kwa watu wenye ulemavu jijini hapa kujishughulisha na kazi mbalimbali zilizopo ndani ya uwezo wao ili kupunguza utegemezi katika jamii. Wito huo umetolewa na baadhi ya viongozi wa karakana ya watu wenye ulemavu Mkoani Dodoma…