Dodoma FM

saikolojia

22 October 2025, 4:18 pm

Sababu za kisaikolojia zatajwa tatizo la afya ya akili

Jamii inapaswa kuondoa unyanyapaa dhidi ya watu wanaopitia changamoto za afya ya akili na badala yake, kuwasaidia kwa upendo na msaada wa kitaalamu. Na Peter Nnunduma.Sababu za kisaikolojia kama vile msongo wa mawazo, kupoteza mtu wa karibu na ajali vimetajwa…

12 April 2022, 3:10 pm

Elimu ya Saikolojia yaendelea kutolewa kwa jamii

Na;Mindi Joseph. Asasi ya Saiko Center imeendelea kutoa elimu ya saikolojia ili kuhakikisha inasaidia jamii kuepukana na changamoto za kisaikolojia. Taswira ya habari imezungumza na Mtendaji wa Asasi hiyo Sylvia Siriwa ambapo amesema malengo yaliyopo kwenye asasi hiyo ni kutoa…

30 September 2021, 1:11 pm

Watu 549 Mkoani Dodoma wapatiwa elimu ya Saikolojia

Na;Mindi Joseph. Watu 549 Mkoani Dodoma wamepatiwa elimu ya saikolojia kutokana na kukabiliwa na Tatizo la saikolojia ya Maisha ambayo inaendelea kuwakabili watu mbalimbali nchini. Kwa kipindi cha miezi 6 kuanzia junuary hadi june mwaka huu 2021 watu 549 wamepatiwa…