Dodoma FM

ratiba

22 March 2021, 7:55 am

Ratiba ya kuaga Mwili wa Rais Magufuli Dodoma yabadilishwa

Na; Mariam  Kasawa. Baada ya uongozi wa mkoa wa Dodoma kutambua hamu ya wakazi wa  jiji hili ya kutamani kumuaga Hayati Dkt John Pombe Magufuli  wameamua kuzunguka maeneo mbalimbali ili kila mwananchi aweze kushiriki zoezi hili. Akizungumza na waandishi wa…