Dodoma FM

Miundombinu

18 November 2025, 12:02 pm

Kikao cha moto kati ya Jeshi la polisi na Bodaboda Geita

Jeshi la polisi limewataka waendesha Bodaboda mkoani Geita kuepukana na matukio yanayoweza kuhatarisha usalama wa maisha yao. Na Edga Rwenduru: Jeshi la polisi mkoani Geita limetoa maelekezo kwa umoja wa waendesha pikipiki mkoa wa Geita kuhakikisha wanasimamia  sheria ndogo ndogo…

13 November 2025, 1:50 pm

Wananchi na TFS wajenga Zahanati ya kijiji Chato

Suala la wananchi wa Butengorumasa kujitolea kwa hiari yao kuanzisha ujenzi wa Zahanati imekuwa mkombozi kwao baada ya TFS kuingilia kati nakukamilisha ujenzi huo. Na Mrisho Sadick: Wakala wa huduma za misitu Tanzania TFS kwa kushirikiana na wakazi wa kijiji…

13 November 2025, 1:30 pm

Bei ya viazi mviringo ,chips yapaa Geita mjini

Kwasasa gunia la viazi mviringo limepanda kutoka shilingi elfu sabini na tano 75,000 hadi zaidi ya laki moja 100,000 Na Mrisho Sadick: Wafanyabiashara wa viazi mviringo katika soko la Nyankumbu mkoani Geita wameamua kupandisha bei ya bidhaa hiyo kutokana na…

28 October 2025, 11:13 am

Nyan’ghwale iko shwari kuelekea uchaguzi kesho

Idadi ya wananchi waliojiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura ni wilayani Nyang’hwale 124,036 na kuwa jumla ya vituo 360. Na Mrisho Sadick: Mkuu wa wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita, Grace Kingalame, amewahakikishia wananchi wa wilaya hiyo kuwa hali…

23 October 2025, 7:38 pm

Geita ulinzi umeimarishwa kuelekea uchaguzi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limeendelea kutoa wito kwa wananchi wote kuendelea kudumisha amani, umoja na mshikamano. Na Kale Chongela- Geita Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limewahakikishia wananchi kuwa maandalizi ya ulinzi na usalama yamekamilika kwa kiwango cha…

21 October 2025, 10:06 pm

CCM yatoa elimu ya kupiga kura kwa vitendo jimbo la Geita

Elimu hiyo inalenga kuongeza uelewa wa wananchi kuhusu mchakato wa upigaji kura, ili kuhakikisha kila kura inayopigwa inahesabiwa ipasavyo. Na Mrisho Sadick: Zikiwa zimesalia siku nane kuelekea Uchaguzi Mkuu Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita kimeendelea kutoa elimu kwa…

21 October 2025, 8:23 am

Mikutano 65 ya injili yaleta mabadiliko makubwa Geita

Lengo la huduma hiyo sasa ni kufika nje ya mkoa wa Geita ili kufikisha ujumbe wa Injili kwa Watanzania wengi zaidi. Na Kale Chongela – Geita Uwepo wa mikutano ya Injili katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Geita umeendelea kuleta…

20 October 2025, 6:05 pm

Jeshi la Polisi lasema Geita kapigeni kura hakuna wakuwagusa

Wakati zikiwa zimesalia siku nane kuelekea katika uchaguzi mkuu Oktoba 29,2025 jeshi la polisi Geita lawatoa hofu wananchi. Na Mrisho Sadick: Jeshi la Polisi Mkoani Geita limewahakikishia Wananchi wa Mkoa huo usalama wa kutosha wakati na baada ya uchaguzi mkuu…

20 October 2025, 12:51 pm

Geita yapokea madaktari bingwa 42 wa Mama Samia

Hii ni awamu ya nne kupokea madakari bingwa wa mama samia nakwamba katika awamu zilizopita zaidi ya watu 10,000 walifikiwa na huduma hizo. Na Mrisho Sadick: Mkoa wa Geita umepokea madaktari Bingwa 42 kutoka kambi ya Mama Samia watakaotoa huduma…

20 October 2025, 12:19 pm

Mahujaji watarajiwa watakiwa kuisoma ibada ya hijja

Hujajji mwenye kutekeleza nguzo zote za hija kwa ukamilifu wake, hupandishwa daraja na Mwenyezi Mungu, ya kuzibali ibada zake pamoja na kumulipa pepo siku ya hesabu Na Juma Haji Wasilamu wenye nia ya kwenda kuhijji Makka, Saudi Arabia mwaka 1448…