Dodoma FM

Mashamba

15 February 2024, 4:01 pm

Wananchi Majeleko walalamika kucheleweshewa fedha za fidia

Mradi BBT umebeba program ya ajira kwa vijana kupitia sekta ya kilimo ambapo ilizinduliwa mnano Agosti 3-2022 na kuanza majaribio katika mikoa ya miwili ya Dodoma na Mbeya . Na Victor Chigwada.Wakazi wa kata ya Majeleko wilayani Chamwino wamelalamika kucheleweshewa…

30 March 2023, 5:34 pm

Katibu mkuu aridhishwa na maendeleo ya miradi ya ujenzi

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameridhishwa na maendeleo ya miradi ya ujenzi inayosimamiwa na Ofisi hiyo. Na Seleman Kodima. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameridhishwa na…

21 March 2023, 5:06 pm

Wahandisi wa SGR watakiwa kusimamia fidia za wananchi

Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa Gondwe ametoa maelekezo kwa wahandisi wanaosimamia mradi wa reli ya treni ya Mwendo kasi kuhakikisha wanashughulikia kero wananchi ambao hadi sasa hawajalipwa fidia za ardhi. Na Bernad Magawa. Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa…

9 February 2023, 10:30 am

Zaidi ya wananchi 7000 watarajia kunufaika

Zaidi ya wananchi 7000 wa kijiji cha Ibihwa na Mpamantwa Wilayani Chemba wanatarajia kunufaika na huduma ya maji safi na salama pindi ujenzi wa mradi wa kisima kikubwa cha maji unaotekelezwa katika vijiji hivyo utakapokamilika. Na Fred Cheti. Hayo yameelezwa…