Dodoma FM

kiswahili

18 July 2025, 7:20 pm

Wanawake zaidi ya 200 wakimbilia VETA Chato

Wanawake mkoani Geita wameendelea kuchangamkia fursa ya elimu ya ufundi katika vyuo mbalimbali vilivyopo mkoani humo ili kujikwamua kiuchumi. Na Kale Chongela: Zaidi ya wanawake 200 wakazi wa wilaya ya Chato mkoani Geita wanaonufaika na mafunzo ya ufundi stadiĀ  katika…