Dodoma FM

afya

May 10, 2022, 2:02 pm

Vyuo vya Afya 20 kuchukuliwa hatua kwa kufanya udanganyifu

Na:Mindi Joseph. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Prof. Abel Makubi ameagiza NACTVATE kuvi chukuliwa hatua Vyuo 20 vya afya vilivyokaguliwa na kufanya udanganyifu ili kulinda viwango vya taaluma ya afya Nchini. Akizungumza…

March 26, 2021, 9:49 am

Ihumwa waomba kuboreshewa soko

Na; Shani Nicolaus.           Wafanyabiashara¬† katika Mtaa wa Ihumwa jijini Dododma wametoa wito wa kukarabatiwa soko lao ili waepukane na changamoto wanayokumbana nayo hasa msimu wa mvua. Wakizungumza na Dodoma fm wafanyabiashara hao wameomba kutatuliwa adha hiyo mara baada ya kukamilika…