Dodoma FM

SERIKALI

28 March 2024, 6:52 pm

CAG awasilisha ripoti kwa Rais Dkt. Samia Suluhu

Deni hilo linajumuisha deni la ndani Shilingi Trilioni 28.92 deni la nje Shilingi Trilioni 53.32. Na Seleman Kodima.Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa serikali (CAG) Charles E. Kichere, amesema kuwa deni la Serikali hadi kufikia Juni 30, 2023 lilikuwa Shilingi Trilioni…

27 March 2024, 3:51 pm

Wanawake Mnadani wazungumzia miaka mitatu ya Rais Samia

Itakumbukwa kuwa Rais dkt Samia Suluhu Hassan ndie Rais wa kwanza mwanamke hapa nchini Tanzania na Afrika Mashariki ambapo aliapishwa rasmi march 19 mwaka 2021. Na Mariam Matundu.Ikiwa ni miaka mitatu tangu Rais Samia aingie madarakani maendeleo katika sekta mbalimbali…