Dodoma FM

habari za Dodoma

1 May 2023, 2:49 pm

Madiwani waomba umeme katika Vitongoji

Mrindoko amesema kutakuwa na SWITCHING STATION eneo la mbande itakayosaidia upatikanaji wa umeme pale inapotokea tatizo eneo Moja lisilete ukosefu wa umeme eneo lingine. Na Bernadetha Mwakilabi. Waheshimiwa madiwani ambao ni wawakikishi wa wananchi  wameomba huduma ya umeme kwenye vitongoji…

10 April 2023, 11:50 am

Nishati mbadala kuwanufaisha wakazi wa Makang’wa

Mradi huo unaotekelezwa kwa fedha kutoka Mfuko wa umoja wa wanawake( UWT) wilayani humo unatarajia kunufaisha moja ya kikundi cha wanawake katika kijiji hicho. Na Fred Cheti Baadhi ya wanawake wa kijiji cha Makang’wa wilayani Chamwino wanatarajia kunufaika na mradi…

8 February 2023, 12:50 pm

Ukosefu wa nishati ya umeme yaleta chuki kwa viongozi

Imelezwa kuwa kukosekana kwa huduma ya nishati ya umeme kwa baadhi ya vitongoji katika Kata ya Idifu imesababisha baadhi wananchi kujenga chuki kwa viongozi na kutaja kitendo cha kukosekana kwa nishati hiyo ni uzembe wa viongozi. Na Victor Chigwada. Mwenyekiti…

22 January 2023, 10:18 am

Matumbulu walalamika gharama za umeme

Na; Mindi Joseph. Gharama kubwa ya kuunganisha umeme wa TANESCO katika  mtaa wa Kusenha kata ya Mpungunzi imetajwa kuwa kikwazo kwa wananchi kuunganisha umeme huo. Gharama za kuunganisha umeme wa TANESCO ni zaidi ya laki tatu tofauti na umeme wa…

13 January 2023, 4:11 pm

Vijiji 64 vyapata umeme jiji la Dodoma

Mkoa wa Dodoma una miradi mitano ya Umeme Vijiji ambapo mradi uliokamilika umewezesha kupelekea umeme kwa maeneo 80 ndani ya Vijiji 64. Thomas mbaja ni mwakilishi wa REA amefafanua hilo ikiwa ni utekelezaji wa kuhakikisha umeme vijijini .

1 December 2022, 8:11 am

Wakazi wa Silwa walalamika kukosa huduma ya Umeme

Na; Victor Chigwada .  Pamoja na jitihada za kusambaza umeme zinazo endelea nchini katika maeneo yaliyopo nje ya miji lakini bado baadhi ya maeneo yameendelea kuwa na kilio cha huduma hiyo. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi wa…

1 December 2022, 7:29 am

Serikali yasaini mkataba wa uzalishaji na ugawanaji mapato

Na; Mariam Kasawa. Baada ya miaka 12 Serikali ya Tanzania imesaini mkataba wa uzalishaji na ugawanaji mapato (PSA) kitalu cha RUVUMA – MTWARA. Mkataba huu unaweka utaratibu wa serikali kupata zaidi. Kwa mara ya kwanza Serikali inapata kwenye Mapato ghafi…

18 October 2022, 6:10 am

Wakazi wa Miganga waiomba serikali kuendelea kusambaza umeme

Na; Benard Filbert. Wakazi wa kijiji cha Miganga Kata ya Idifu wilaya ya Chamwino wameiomba serikal kuendelea kusambaza nishati ya umeme katika kijiji hicho hali itakayosaidia kukua kwa uchumi. Ombi hilo wamelitoa wakati wakizungumza na Taswira ya habari kuhusu uwepo…