Dodoma FM

dawa za kulevya

7 September 2023, 1:56 pm

Madereva watakiwa kujaza mafuta gari ikiwa haina abiria

Je sheria hii imatambulika na imekuwa ikifuatwa na madereva wa vyombo vya moto hususani Magari ya abiria. Na Thadei Tesha. Madereva wa vyombo vya moto wametakiwa kutambua kuwa ni  kosa kisheria kujaza Gari mafuta na abiria wakiwa ndani ya gari.…

18 October 2022, 6:44 am

Wakazi jijini Dodoma waomba kupunguziwa gharama za usafirishaji

Na; Mariam Matundu.  Wananchi jijini  Dodoma wameomba kuboreshewa usafirishaji ili kupunguza gharama za usafiri zinachochangia kupanda kwa gharama za maisha siku hadi siku. Denis mandia ni mkazi wa dodoma yeye amesema kuwa suala la kupanda kwa gharama za usafirishaji zinachochea…

16 March 2022, 1:43 pm

Ukosefu wa ajira chanzo cha matumizi ya dawa za kulevya

Na; Elizabeth Japhet. Ukosefu wa ajira unatajwa kuwa moja ya sababu inayosababisha baadhi ya vijana kujihusisha na utumiaji wa  dawa za  kulevya. Bwana Swaleh ni miongoni mwa wahanaga wa dawa za kulevya na mfanyabiashara  wa soko kuu la majengo jijin…