Radio Tadio

Uhuru

28 August 2024, 1:50 am

Watatu wahukumiwa kifo mauaji ya Milembe Geita

Washtakiwa watatu kati ya wanne (wa kwanza kulia, wa kati na dada wa nyuma) waliokuwa wakishtakiwa kwa kosa la mauaji ya Milembe Suleiman (43) wametiwa hatiani kwa kutenda kosa hilo na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa. Na: Daniel Magwina – Geita…

26 August 2024, 15:32

Chunya yapiga hatua kimaendeleo

Chunya ni moja ya halmashauri inayounda mkoa wa Mbeya ambapo kwa sasa halmashauri hiyo imefunguka kiuchumi tofauti na miaka ya nyuma, kwasasa halmashauri hiyo inafikika kirahisi kutokana na uwepo wa barabara nzuri huku ikisifika katika uchimbaji wa madini pamoja na…

7 August 2024, 7:10 pm

Vijana na wanawake watakiwa kuigeukia fursa ya ufugaji na uvuvi

Nini kinachowakwamisha vijana kujikita katika Sekta ya Ufugaji? Na Fred Cheti.Vijana na Wanawake wametakiwa kuzigeukia fursa za Ufugaji na Uvuvi kupitia mitaji wanayopata badala ya Biashara pekee ili waweze kujikwamua kiuchumi wao na Taifa kwa ujumla. Hayo yameelezwa na Mkuu…