Michezo
18 September 2024, 7:04 pm
Kampuni ya ukopeshaji Bunda yakamatwa na kadi za benki zaidi ya 50
“Mimi kama mkuu wa wilaya ya Bunda siwezi kukubali ujambazi kama huu wa kuwadhurumu wananchi haiwezekanai mtu akope milioni moja alafu alipe milioni kumi huu ni ujambazi” DC Vicent Naano. Na Adelinus Banenwa Mkuu wa wilaya ya Bunda Mhe Dkt…
18 September 2024, 12:12 pm
Wananchi Simanjiro wapatiwa vipimo bure
Wananchi wakiendelea kupatiwa huduma na wataalam wa afya kutoka halimashauri ya wilay ya simanjiro (Picha na Joyce Elias) Na Joyce Elius Wataalam wa afya kutoka halimashauri ya wilaya ya simanjiro wameweza kutoa huduma mbalimbali katika kata za Terrat Naberera Emboreet …
17 September 2024, 22:11
Mchungaji Andrea Simbeye azikwa nyumbani kwake Iwambi Mbeya
Kila nafsi itaonja mauti vitabu vitakatifu vimeandika , na hii inadhihilisha kuwa duniani tunasafiri hivyo tunapaswa kuendelea kumtumikia Mungu kwa uaminifu. Na Hobokela Lwinga Mchungaji mstaafu marehemu Andrea Simbeye aliyefariki dunia September 14,2024 amezikwa leo Septemba 17,2024 nyumbani kwake Iwambi…
17 September 2024, 19:55
Wakristo wahimizwa kuliombea taifa juu ya ukatili
Tanzania ni nchi ya amani na kila mwananchi anapaswa kuwa mlinzi wa kulinda amani ya taifa. Na Hobokela Lwinga Mchungaji Daniel siame wa kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi amesema kanisa Lina wajibu wa kukemea na kuombea taifa…
15 September 2024, 16:39
Moravian JKM yathibitisha kifo cha Mch. Andrea Simbeye
Duniani hakuna mwenye makazi ya kudumu hivyo inatupasa kujiandaa ili kuwa na mwisho mwema. Na Hobokela Lwinga Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi linatangaza kifo Cha mchungaji mstaafu marehemu Andrea Simbeye kilichotokea tarehe September 14,2024. Taarifa iliyotolewa na…
13 September 2024, 22:15
Vijana watakiwa kutumia nguvu zao kujiimarisha kiroho, kiuchumi
Mafaniko ya mwanadamu yanategemea nguvu ya uwekezaji alionao mtu na ili uweze kufanikiwa ni lazima ujiepushe na mambo ambayo yanaweza yakakufanya ukashindwa kufanikiwa. Na Hobokela Lwinga Vijana wametakiwa kutumia muda wao mwingi katika kumtumikia Mungu na kujiimarisha kiuchumi kwani umri…
10 September 2024, 06:53
Wachungaji 49 Moravian wapanda madaraja ya ushemasi, ukasisi
Kanisa la Moravian Tanzania limekuwa na Utaratibu wa kuwapandisha ngazi wachungaji wake hii ikiwa ni moja ya sifa ya makanisa ya kiprotenstanti katika madaraja matatu yaani ushemasi, ukasisi na uaskofu. Na Hobokela Lwinga Askofu mstaafu wa Kanisa la Moravian Tanzania…
6 September 2024, 13:46
Vijana watakiwa kutojihusisha na vurugu ndani ya kanisa
Ili kuwa na kizazi chenye maadili mema kanisa la Moravian limekuwa na Utaratibu wa kuratibu mikutano mbalimbali kwenye idara Zake ikiwemo vijana ili kuwafundisha kumjua Mungu. Na Hobokela Lwinga Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la kusini magharibi limewataka vijana kuwa…
6 September 2024, 7:32 am
Mkandarasi atelekeza mradi wa maji Katoro
Serikali kupitia wakala wa usambazaji maji vijijini (RUWASA) imeendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maji ili kuondoa changamoto kwa wananchi katika wilaya ya Geita. Na: Evance Mlyakado – Geita Mkuu wa wilaya ya Geita Hashim Komba amefanya ziara ya kukagua miradi…
3 September 2024, 4:32 pm
Madhila kwa wanawake Lorokare wakitafuta maji
Kijiji cha Lorokare kata ya Oljoro No.5 wilaya ya Simanjiro wanafukua korongo la msimu ili kupata maji ya kutumia kwa shughuli zote za kibinadamu. Ikiwa utahitaji maji safi ya kunywa kutoka bombani basi itakulazimu kutembea umbali mrefu zaidi ya Km…