Radio Tadio

Kilimo

18 Septemba 2024, 4:55 um

RC Kihongosi amwaga fedha kwa bodaboda wa Nyashimo Busega

“Mchango wa maendeleo na kupunguza wimbi la ajira umekuwa mkubwa sana kwa Taifa kutokana na baadhi ya vijana kujiajiri wao wenyewe kupitia bodaboda hivyo kujiongezea kipato“. Na, Daniel Manyanga Mkuu wa mkoa wa Simiyu,Kenani Kihongosi ametoa kiasi cha fedha milioni…

13 Septemba 2024, 09:31

Walimu watoro kazini kuchukuliwa hatua Kibondo

Baraza la madiwani wilayani Kibondo Mkoani Kigoma limesema litawachukulia hatua za kinidhamu walimu wote ambao wamekuwa hawakai kwenye vituo vyao vya kazi hasa muda wa masomo na kwenda kufanya biashara Na James Jovin – Kibondo Serikali wilayani Kibondo mkoani Kigoma…

2 Septemba 2024, 17:15

Wanafunzi wawili wajeruhiwa kwa kipigo na mwalimu

Wakati  Serikali na wadau mbali mbali wa haki za binadamu wakiendelea kupinga vitendo vya ukatili wa vipigo kwa watoto shuleni  bado ukatili wa aina hiyo unaendelea kujitokeza siku hadi siku. Kutoka wilayani kasulu Emmanuel Kamangu na ripoti zaidi.

30 Agosti 2024, 10:57

Zaidi ya wanafunzi 2000 wakatiza masomo Kasulu

Zaidi ya wanafuzi 2000 katika shule za msingi Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma wameshindwa kuhitimu elimu ya msingi mwaka 2023 kufuatia changamoto mbalimbali ikiwemo utoro. Hayo yamebainishwa na Mdhibiti mkuu ubora wa shule halmashauri ya Mji Kasulu Mwl, Sadock…

21 Agosti 2024, 13:05

TALGWU yapongeza serikali kupandisha madaraja watumishi

Wanachama wa chama cha wafanyakazi wa Serikali za mitaa TALGWU mkoa wa kigoma wameomba viongozi wa chama hicho kuendelea kuwasaidia na kuwasemea serikalini ili waweze kupata stahiki na haki zao. Na James Jovini – Kibondo Chama cha wafanyakazi wa serikali…

7 Agosti 2024, 12:04

Wadau watakiwa kusaidia kuboresha miundombinu ya elimu

Serikali wilayani kasulu mkoani kigoma imewataka wadau wa maendeleo kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali za kuboresha miundombinu ya elimu ili kuhakisha wanafunzi wanapata elimu bora. Na Emmanuel Kamangu – Kasulu Wadau wa maendeleo wilayani Kasulu  wameaswa kuendelea kumuunga mkono…

6 Agosti 2024, 10:08

Bilioni 58.7 zaboresha sekta ya elimu Kigoma

Na, Joha Sultan Naibu Waziri Ofisi ya Raisi wizara ya Tamisemi Mhe.Zainabu Katimba amewataka wazazi wote mkoani kigoma kuwapeleka watoto shule na kukomesha utoro. Ameeleza hayo katika mkutano wa hadhara uliofanywa na chama cha mapinduzi katika viwanja vya community center…

18 Julai 2024, 11:50

Nabii awaonya waumini kutegemea miujiza

Waumini wa dini ya kikristo mkoani Kigoma wametakiwa kufanya kazi kwa bidii ili kupata mafanikio ambayo yatawasaidia katika maisha yao kuliko kutegemea miujiza. Hayo yameelezwa na Askofu wa kanisa la Anglikana dayosisi ya western Tanganyika Mhasham Emmanuel Bwatta wakati akizungumza…

18 Julai 2024, 08:17

Mwenyekiti atuhumiwa kuiba na vifaa vya ujenzi

Mkuu wa wilaya Buhogwe Michael Ngayalina amemwagiza afisa utumishi kumtafuta mwenyekiti wa kijiji cha songambele ili aweze kujibu tuhuma zinazomkabili ikiwemo wizi wa vifaa vya ujenzi wa shule hali iliyosababisha ujenzi kusimama. Na Michael Ngayalina – Buhigwe Wananchi wa kijiji…