Radio Tadio

Kilimo

20 January 2025, 11:44

Wakuu wa kaya watakiwa kujenga vyoo bora

Ujenzi wa vyoo bora kwa kila kaya inatajwa kuwa sehemu ya mapambano dhidi ya magonjwa ya mlipuko ikiwemo kipindupindu. Na Michael Mpunije Wakuu wa kaya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kujenga vyoo bora na kuzingatia kanuni za…

20 January 2025, 11:06

Watoto waliofaulu wapelekwe kidato cha kwanza

Kila mzazi ana wajibu wa kuhakikisha mtoto wake anapata haki ya elimu bora na elimu bora huanza na maandalizi bora kwa mtoto. Na Hagai Ruyagila Wazazi na walezi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kutambua umuhimu wa elimu kwa kuwapeleka shule…

17 January 2025, 12:46 pm

One Acre Fund yatoa miti Kilolo kutunza mazingira

Na Joyce Buganda Wananchi wa kijiji cha Itimbo, kata ya Ihimbo wilayani Kilolo Mkoani Iringa wamenufaika na msaada wa miti uliotolewa na Shirika la One Acre Fund. Wakizungumza wakazi wa kijiji hicho wakati wa kupokea miti hiyo Wamesema miti hiyo…

16 January 2025, 12:46 pm

Iringa kupanda miti milion 42 kutunza mazingira

Na Joyce Buganda Serikali ya mkoa wa Iringa inatarajia kupanda zaidi ya miti millioni 42 kwa kipindi Cha mwaka 2025 ikiwa ni sehemu ya kuunga juhudi za serikali ya awamu ya 6 Ili kutunza mazingira. Hayo yamezungumzwa na Mkuu wa…

15 January 2025, 12:34

DC Kasulu ataka ufuatiliaji usalama wa mazao ya chakula

Kutokana na umuhimu wa chakula kwa maisha ya binadamu, ustawi na maendeleo ya nchi, suala la kuhakikisha kuwa chakula ni salama kwa matumizi ya binadamu linapewa kipaumbele na kuzingatiwa kikamilifu kwa lengo la kulinda afya ya walaji na  kuwezesha utoshelevu…

13 January 2025, 14:27

Wavuvi ziwa Tanganyika walia na upepo mkali mitumbwi ikipotea

Wavuvi Mkoani Kigoma wametakiwa wametakiwa kufuatailia utabiri wa hali ya hewa ili kuweza kufahamu muda gani wa kuingia ziwani kuvua na kuepuka dhoruba za upepo wawapo ziwani. Baadhi ya wavuvi katika Ziwa Tanganyika wamelalamikia changamoto ya upepo mkali na mvua…

10 January 2025, 12:39

DED Buhigwe atakiwa kusimamia ujenzi sekondari Kahimba.

wakati shule zikitarajiwa kufunguliwa wiki ijayo jumatatu ya januari 13 ambapo maelengo ya serikali ni kuhakikisha miundombinu ya madarasa inakuwa tayari na wanafunzi kuanza kuyatumia. Na Josephine Kiravu. Katibu Tawala mkoa wa Kigoma Hassan Rugwa amemtaka Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri…

8 January 2025, 8:05 pm

Idadi ya watalii wa ndani imeshuka pori la akiba Kijereshi

“Elimu ya utalii bado inahitajika kwa jamii ili kuwajengea uzoefu wa kupenda kutembelea vivutio mbalimbali kwa lengo la kujifunza pamoja na kuchangia pato la Taifa”. Na, Daniel Manyanga Imeelezwa kuwa elimu utalii bado inahitajika kwa wananchi mkoani Simiyu ili waweze…

6 January 2025, 12:15

Wadau watakiwa kuwasaidia watoto wenye uhitaji

Katika kuhakikisha mtoto mlemavu kupata elimu na kutimiza ndoto zao wadau wa maendeleo na wazazi kuibua na kuwatoa nje watoto hao ili kupata haki ya elimu. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wadau wa maendeleo wilayani Kasulu mkoani Kigoni wametakiwa kuwasaidia…