Familia
1 Aprili 2022, 2:17 um
Wakazi Jijini Dodoma watakiwa kuwa waadilifu juu ya matumizi ya maji
Na;Yussuph Hassan. Wakazi Jijini Dodoma wameshauriwa kuwa waadilifu katika matumizi ya Maji na kutoa taarifa panapotokea changamoto yoyote ya upatikanaji wa huduma hiyo. Ushauri huo umetolewa na Meneja Ufundi wa Duwasa Emmanuel Mwakabore wakati akizungumza na kituo hiki kufatia kuwepo…
10 Machi 2022, 3:46 um
Wakazi wa mtaa wa Chang’ombe Ihumwa walalamikia kukosa huduma ya maji
Na; Neema Shirima. Baadhi ya wananchi wa mtaa wa Chang’ombe kata ya Ihumwa jijini Dodoma wameelezea changamoto zao ikiwa ni pamoja na ukosefu wa maji safi na salama katika eneo hilo Wamesema ukosefu wa maji safi na salama unawalazimu kutumia…
1 Machi 2022, 3:53 um
Wakazi wa Mkoka waiomba serikali kukamilisha mradi wa maji
Na; Victor Chigwada. Wananchi wa kata ya Mkoka Wilaya ya kongwa wameiomba Serikali kukamilisha miradi ya maji safi ili waweze kuondokana na changamoto hiyo ya muda mrefu Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya wananchi hao wamesema ukosefu wa maji…
19 Januari 2022, 3:10 um
Wakazi wa Ihumwa walalamikia ukosefu wa maji safi na salama
Na; Neema Shirima. Baadhi ya wananchi wa mtaa wa Chang’ombe kata ya Ihumwa jijini Dodoma wameelezea changamoto ya ukosefu wa maji safi na salama katika eneo hilo Wamesema ukosefu wa maji safi na salama unawalazimu kutumia maji ya visima ambayo…
16 Disemba 2021, 2:22 um
Wakazi wa Nzinje waiomba DUWASA kuwatatulia kero ya maji
Na;Mindi joseph . Wakazi wa mtaa wa Nzinje jijini Dodoma wameiomba Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira DUWASA kuwasaidia kutatua changamoto ya maji inayowakabili kwa muda mrefu. Wakizungumza na Dodoma Fm baadhi ya wananchi hao wanasema kutokana na…
3 Novemba 2021, 1:21 um
Waziri wa maji akutana na uongozi wa Benki ya Exim kutoka India
Na; Mindi Joseph. Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amekutana na uongozi wa Benki ya Exim India kuhusu utekelezaji wa mradi wa maji wa miji 28 ambao ni moja ya miradi ya maji iliyopangwa kutekelezwa na Serikali. Kikao hicho kimefanyika…
2 Novemba 2021, 11:16 mu
Wakazi wa Babayu waiomba serikali kuwapelekea huduma ya maji safi na salama
Na;Mariam matundu . Wakazi wa kijiji cha Babayu wilayani Chemba wameiomba serikali kuwaletea huduma ya maji safi ili kupunguza adha wanayokutana nayo katika kutafuta maji umbali mrefu. Baadhi ya wakazi hao wakizungumza na taswira ya habari wamesema wamekuwa wakitumia zaidi…
19 Oktoba 2021, 11:32 mu
Wakazi wa Mkoka walalamika kuendelea kukosa huduma ya maji
Na; Selemani Kodima. Licha ya kuchimbiwa visima vya maji ,Bado wananchi wa kijiji cha mkoka wilayani kongwa wamelalamika kuendelea kupata changamoto ya maji baridi. Akizungumza kwa Niaba ya Wananchi wa kijiji cha Mkoka Mwenyekiti wa kijiji cha Mkoka Bw Elia…
7 Oktoba 2021, 12:31 um
Kata ya Mtanana yahitaji huduma ya maji katika kijiji chake cha Soiti
Na ;Benard Filbert. Licha ya uwepo wa Vijiji vitano katika Kata ya Mtanana Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma imeelezwa bado kijiji kimoja kinakabiliwa na ukosefu wa mradi wa maji kwa wakazi wa eneo hilo. Hayo yameelezwa na diwani wa Kata…
5 Oktoba 2021, 11:31 mu
Uhaba wa maji wasababisha migogoro ya ndoa katika kijiji cha Mpakani
Na ;Victor Chigwada. Huduma hafifu ya upatikanaji wa maji safi na salama umekuwa changamoto kwa Wananchi wa kitongoji cha Mpakani Kata ya Kibaigwa Wilaya ya Kongwa hali inayosababisha migogoro ya ndoa Baadhi ya wananchi hao wakizungumza na taswira ya habari…