Radio Tadio

Familia

15 July 2024, 5:29 pm

Serikali kuchimba visima Igandu zaidi ya vitatu

Hata hivyo Serikali kupitia RUWASA bajeti ya 2023/2024 imepanga kujenga jumla ya miradi 1546. Na Victor Chigwada.Matumaini ya kupata huduma ya maji safi na salama yameanza kupata nuru kwa wananchi wa Kata ya Igandu baada Serikali kutenga fedha za kuchimba…

23 May 2024, 4:27 pm

Wakazi zaidi 14,000 waondokana na adha ya maji Ntyuka

Kata ya Ntyuka ina Mitaa mitano na wamenufaika na Visima 3 viliyochimbwa katika maeneo yao kwani viwili vinatoa maji na kimoja bado hakijaanza kutoa maji. Na Mindi Joseph.Wakazi zaidi ya Elfu 14,000 wa kata ya Ntyuka Jijini Dodoma Wameondokana adha…

15 April 2024, 9:34 pm

Msukumo mkubwa wa maji wachangia kupasuka kwa mabomba

Duwasa imeendelea kuhakikisha inakabiliana na changamoto ya upotevu wa maji ambao husababishwa na kupasuka kwa miundombinu ya Mabomba ya maji kutokana na presha kubwa ya maji. Na Mindi Joseph. Msukumo mkubwa wa maji umetajwa kuchangia Kupasuka kwa miundombinu ya mabomba…

4 April 2024, 5:27 pm

Nala bado yakabiliwa na changamoto ya maji

Serikali kupitia Wizara ya Maji na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) imewekeza kiasi cha shilingi bilioni 9.14 ikiwa ni hatua za haraka na muda mfupi zilizofanyika za kutatua changamoto ya maji pamoja na uchimbaji na uendelezaji…

16 February 2024, 4:33 pm

Maji safi mwarobaini wa kupambana na magonjwa ya mlipuko

Kwa mujibu wa shirika la Afya Duniani katika ripoti yake ya mwaka 2015 Asilimia¬† (81%) ya watu¬† wanaokunywa maji ambayo si salama na huishi katika maeneo ya vijijini pamoja na kwenye makazi holela. Na Mindi Joseph. Upatikanaji wa huduma ya…

15 February 2024, 4:27 pm

Wajawazito Handali walazimika kwenda leba na maji

Pamoja na hatua hizo za kwenda na maji kituo cha afya lakini bado wanakutana na shuruba nyingine namna ya kupata maji hayo bombani. Na Victor Chigwada.Pamoja na umuhimu wa matumizi ya maji katika sehemu za kutolea huduma za afya imekuwa…

8 January 2024, 16:43

Wazazi kushirikiana tiba ya upendo kwa mzazi mmoja

Baadhi ya wazazi wakiume wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kushirikiana na wazazi wa kike kuzilea familia zao na kuacha kuzitelekeza hali inayopelekea baadhi ya watoto kuwa na mapenzi na mzazi mmoja. Rai hiyo imetolewa na Mchungaji kiongozi wa kanisa la…