Buha FM Radio

Recent posts

June 27, 2025, 10:39 am

Maafisa usafirishaji Kasulu wapigwa msasa

“Tunashukuru sana jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani kwa kutupatia elimu hii kwani tumekuwa kusafirisha abilia pasipo kujua sheria ambazo zinatakiwa kufuatwa katika kazi hii pia tunaahidi tuitafanyia kazi yale yote tuliyofundishwa kwenye semina hii” Na Paulina Majaliwa Maafisa…

June 19, 2025, 10:42 pm

Mgogoro wa mipaka Mwilamvya, Kigondo wafika pazuri

Mgogoro wa mpaka uliopo kati ya kata ya mwilavya na kata ya kigondo kwa sasa umesawasilishwa katika ofisi ya mkurugenzi kuhakikisha unatafutiwa suluhisho licha ya wananchi kutoshiriki mkutano wa awali utatuzi. Na Irene Charles Diwani wa kata ya Mwilamvya halmashauri…

June 14, 2025, 4:22 pm

Wito watolewa kwa wananchi kukata hatimiliki za ardhi

Afisa ardhi wa halmashauri ya mji Kasulu  Pesha Jackson ameeleza bado kuna mwitikio mdogo kwa wananchi ndani ya halmashauri ya mji Kasulu katika swala la ukataji wa hatimiliki ukilinganisha na viwanja vyenye sifa ya kukatiwa hati na kuwaomba wananchi kuendelea kujitokeza…

June 14, 2025, 12:01 pm

Buhigwe yaanza mapambano dhidi ya malaria

Mganga Mkuu wa halmashauri ya wilaya ya Buhigwe Dkt. Innocent Mhagama amesema zoezi la kuandikisha kaya za wanufaika wa vyandarua vyenye dawa katika wilaya hiyo limefanikiwa kwa kiasi kikubwa ambapo lengo la awali ilikuwa kuandikisha kaya elfu 47,467 lakini jumla…

June 14, 2025, 10:56 am

Madereva wa magari waonywa kuegesha vibaya Mnadani

Wito huo umetolewa na mkaguzi wa magari kutoka Jeshi la polisi wilayani Kasulu Koplo Fadhili Ndege wakati akiongea na Buha FM Radio akiwa sokoni hapo juu ya namna madereva wa magari wanavyopaki wakati wanapakia mizigo kwa ajili ya kuisafirisha sehemu…

June 11, 2025, 2:15 pm

Vijana waaswa kujituma wasiwe tegemezi

Denis juliasi  na  Abeli John wameeleza kuwa vijana wengi wamekuwa wakipoteza muda mwingi katika michezo mbalimbali isyowaingizia kipato kwa kuzadharau na kuchagua kazi hasa zile zinazohitaji kutumia nguvu kwa madai kuwa wamesoma. Na Emil Adam Vijana wilayani Kasulu mkoani Kigoma…

June 7, 2025, 4:27 pm

Changamoto kwa  watoto wenye mahitaji maalumu yapata mwarobaini

Mradi wa Shule Bora waendelea kutoa mafunzo ya uwezeshaji kwa waratibu wa elimu, maendeleo ya jamii na usitawi wa afya ili kusaidia kuwabaini  watoto wenye mahitaji maalumu shuleni na katika jamii na kuondokana na changamoto inayowakabili watoto wenye mahitaji maalumu…

June 5, 2025, 11:11 pm

Halmashauri ya Mji Kasulu yasisitiza kutunza mazingira

Afisa Mazingira na Kaimu kitengo cha MaliaSili na Ujifadhi wa Mazingira katika Halmashauri ya Mji Kasulu Ndg. Wambura Muniko amewaomba wakazi wa halmashauri ya Mji huo kuendelea kuyatunza mazingira ili kuepuka mabadiliko ya tabianchi yanayoweza kujitokeza baada ya mazingira kuathirika.…

June 4, 2025, 9:31 pm

Wazazi na walimu sasa kujenga madili bora ya mwanafunzi

Baadhi ya wazazi katika Halmashauri ya Mji Kasulu wajipanga kushilikiana na walimu kulinda na kujenga madili bora kwa wanafunzi ili kuendelea na taifa lenye raia wenye madili bora. Na: Paulina Majaliwa Baadhi ya wazazi katika Halmashauri ya  Mji Kasulu mkoani…

June 4, 2025, 3:09 pm

Pombe yamponza Esau msibani

Wakazi wa mtaa ya Kigungani kata ya Mwilamvya katika Halmashauri ya Mji Kasulu waonywa kuhudhuria misibani wakiwa wamelewa na kuanzisha fujo na kutoa maneno machafu yanayoumiza kwa wafiwa na waombolezaji katika msiba. Na: Mbaraka Shaban Mwenyekiti wa kamati ya maafa…

Buha FM Radio

The Radio will be known as BUHA FM RADIO, it is devoted to serve whole Kigoma region and neighbouring area such as Katavi, Tabora, Kagera and Burundi. Our primary target will be the Refugee host area and refugee camps in Kasulu, Kibondo and Kakonko. As the community engagement process, on August 21, 2018, the Organization for Human Investment and Development (OHIDE Tanzania) and RTTS Centre (The refugee-based communication centre) in Nyarugusu Refugee Camp signed a Memorandum of Understanding to collaborate in producing local content based on refugee affairs. The agreement is based on making sure that the refugees voice is included and are well informed, educated, and entertained through Radio broadcasting. Either the goal of the project is to make sure there is a good neighbourhood between the Refugees and the host community and also support the UN agencies and partners to serve both communities in Kasulu, Kibondo, and Kakonko.

Vision 

The VISION of Buha FM Radio is to see the community of Kigoma Region particularly from rural areas have access to information and increased capacity to play a meaningful role in their development through media.

Mission

The MISSION is to enable local communities to use media as a tool for enhancing participatory communication to achieve sustainable rural development.

 Objectives of the Buha news and Buha Radio      

The following are our objectives; –

 ·       Enhanced access to the information within refugees and host community through the well-established Radio station

·       Promoted implementation of the United Nations Sustainable Development Goals

·       Reduced tension among refugees and host communities

·       Reduced poverty among women and youth

·       Increased cross border business integrations within the Kigoma region and neighbouring countries

·       Promoted protection to girls, children, and elders

Our Activities

To engage communities in content production

·       To involve Refugees and refugee-based journalists in intercultural programs and current affairs news

·       Give space/cooperate with the Government, UN agencies, Development partners to debate and discuss solutions on challenges being faced by both communities

·       Produce news and programs that ensuring the existence of a harmonious relationship between the refugees and the horst community to foster improved corporation, awareness, and protection issues.

·       Produce information stories on peace and security news from refugee country of origin to promote voluntary repatriation (This will be part of the Go and See visit and Come and Tell method for refugees and host local village leaders)

·       Promote agribusiness and environmental conservation for poverty eradication

·       Promote wildlife conservation

·       Promote the preservation of the indigenous culture of the Kigoma region and historical sites