Buha FM Radio
Buha FM Radio
September 19, 2025, 5:33 pm
“Kiukweli uwepo wa soko la Kwashayo inatufanya sisi tushindwe kupata wateja serikali ikamilishe soko hili wafanya biashara waliopo kule wahamie hapa maana wakiwepo kule sisi hatuuzi kabisa hali hii inapelekea kushindwa hata kuendesha familia zetu” Alisikika mmoja ya wafanya biashara…
September 18, 2025, 10:18 pm
“Serikali kupitia kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kuwajali wadau wa elimu na idara ya elimu kwa ujumla katika kutekeleza miradi itakayosaidia kuongeza ufaulu kwa wanafunzi na kuwatengenezea walimu mazingira mazuri ya kufundishia”…
September 18, 2025, 12:17 am
“Nina imani kubwa kuwa jengo hili litawasaidia wananchi na watoa huduma mtatoa huduma bora na nzuri kwa wananchi wote wa Halmashauri hii pia litaongeza chachu ya maendeleo katika maeneo haya” Amesema Ussi. Na; Sharifat Shinji Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu…
September 17, 2025, 6:19 pm
Leo Septemba 17, 2025 Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Mhe. Kanal Isack Mwakisu amepokea mwenge wa Uhuru 2025 na wakimbiza Mwenge kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kibondo Mhe. Kanal Aggrey Magwaza huku akiwakaribisha wote waliojitokeza katika makabidhiano hayo. Na;…
September 10, 2025, 10:04 pm
“Watanzania angaliyeni mataifa mengine nilipata nafasi ya kwenda Sudan kwenye ukaguzi unaona namna wananchi wanavyohangaika hadi watoto wadogo wanajuwa namna ya kuomba msaada pia nilienda Congo na kwenyewe niliona namna watu wanavyoteseka kuitafta amani nikawa nawaza Watanzania wangekuwa wanapata nafasi…
September 10, 2025, 7:29 am
“Elimu ya Kipindupindu tunaendelea kuitoa kwa wananchi kupitia vyombo vya habari kutokana na ongezeko la maambukizi ya ugonjwa huu ambapo mwezi Augost kulikuwa na visa vitatu hadi leo Septemba 08 mwaka huu vimefikia visa 37 vya maambukizi ya ugonjwa huu…
September 8, 2025, 4:12 pm
Mhe. Kanal Isack Mwakisu amewaomba wadau na wananchi kujitokeza katika mapokezi ya mbio za mwenge wa Uhuru mwaka 2025 siku ya tarehe 17 ambapo utapokelewa katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu na tarehe 18 mwezi huu katika Halmashauri ya Mji…
September 8, 2025, 1:01 pm
Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Mhe. Kanal Isack Mwakisu amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM atafanya kampeni katika Wilaya ya Kasulu Septemba 13 mwaka huu. Na; Sharifat Shinji Rais wa…
August 27, 2025, 9:19 pm
Kwa mama mwenye mtoto anatakiwa baada ya kumsafisha mtoto kuhakikisha ananawa mikono vizuri kumkinga mtoto, hata hivyo viongozi wa taasisi, masoko wanatakiwa kuweka maji tiririka amesema mratibu Mwita. Na Irene Charles Wananchi Kasulu watakiwa kuchukua taadhari ili kuepukana na tatizo…
August 27, 2025, 5:57 pm
Prof. Joyce Ndalichako asindikizwa na umati wa wanachama kuchukua fomu za kugombea ubunge Jimbo la Kaulu Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM kwa awamu ya pili 2025-2030 baada ya kumaliza awamu ya kwanza mwaka 2020-2025 na kuahidi mazuri…
The Radio will be known as BUHA FM RADIO, it is devoted to serve whole Kigoma region and neighbouring area such as Katavi, Tabora, Kagera and Burundi. Our primary target will be the Refugee host area and refugee camps in Kasulu, Kibondo and Kakonko. As the community engagement process, on August 21, 2018, the Organization for Human Investment and Development (OHIDE Tanzania) and RTTS Centre (The refugee-based communication centre) in Nyarugusu Refugee Camp signed a Memorandum of Understanding to collaborate in producing local content based on refugee affairs. The agreement is based on making sure that the refugees voice is included and are well informed, educated, and entertained through Radio broadcasting. Either the goal of the project is to make sure there is a good neighbourhood between the Refugees and the host community and also support the UN agencies and partners to serve both communities in Kasulu, Kibondo, and Kakonko.
Vision
The VISION of Buha FM Radio is to see the community of Kigoma Region particularly from rural areas have access to information and increased capacity to play a meaningful role in their development through media.
Mission
The MISSION is to enable local communities to use media as a tool for enhancing participatory communication to achieve sustainable rural development.
Objectives of the Buha news and Buha Radio
The following are our objectives; –
· Enhanced access to the information within refugees and host community through the well-established Radio station
· Promoted implementation of the United Nations Sustainable Development Goals
· Reduced tension among refugees and host communities
· Reduced poverty among women and youth
· Increased cross border business integrations within the Kigoma region and neighbouring countries
· Promoted protection to girls, children, and elders
Our Activities
To engage communities in content production
· To involve Refugees and refugee-based journalists in intercultural programs and current affairs news
· Give space/cooperate with the Government, UN agencies, Development partners to debate and discuss solutions on challenges being faced by both communities
· Produce news and programs that ensuring the existence of a harmonious relationship between the refugees and the horst community to foster improved corporation, awareness, and protection issues.
· Produce information stories on peace and security news from refugee country of origin to promote voluntary repatriation (This will be part of the Go and See visit and Come and Tell method for refugees and host local village leaders)
· Promote agribusiness and environmental conservation for poverty eradication
· Promote wildlife conservation
· Promote the preservation of the indigenous culture of the Kigoma region and historical sites