Buha FM Radio
Buha FM Radio
December 10, 2025, 4:45 pm
Wilaya ya Kasulu imeendelea kuimalika katika kutekeleza miradi inayoendelezwa na ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM kwa kuendeleza na kukikamilisha kwa usimamizi bora huku mingine ikiendelea kutekelezwa wilayani humo. Na; Paulina Majaliwa Serikali wilayani Kasulu mkoani Kigoma imeendelea kusimamia na…
December 7, 2025, 12:20 pm
Maafisa usafirishaji maalufu Bodaboda kutoka Wilaya mbalimbali mkoani Kigoma wapinga maandamano yaliyopangwa kufanyika Desemba 9, Serikali wilayani Kasulu yatia neno la msisistizo wa kutojihusisha na maandamano hayo. Na; Sharifat Shinji Maafisa Usafirishaji wa abiri malufu Bodaboda mkoani Kigoma wamesema hawatoshiriki…
December 4, 2025, 7:30 pm
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu amewataka madiwani wenzake kutambua kuwa nafasi walizokabidhiwa ni za muda, hivyo wanapaswa kufanya kazi kwa bidii na kujituma ili waache alama chanya kwa wananchi wanaowatumikia. Na; Emily Adam Madiwani wateule wa Halmashauri ya…
December 4, 2025, 6:19 pm
Madiwani wa Kata mbalimbali katika Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu wamepewa maelekezo ya kufanya baada ya kula viapo vyao vya kuwatumikia wananchi katika kata zao. Na; Emily Adam Watumishi wa sekata mbalimbali na Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu…
December 3, 2025, 10:08 pm
Wananchi wa kata ya Makere waomba kujengewa miundombinu ya madaraja katika Kata mbalimbali Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu ili kuondoa ajari za watoto wa shule hasa katika kipindi cha mvua. Na; Saharifa Shinji Baadhi ya wakazi wa Kata ya Makere…
December 3, 2025, 5:51 pm
Wafanya biashara wa nyama katika Halmashauri ya Mji Kasulu wameeleza namana soko la nyama linavyoendelea pamoja na kubainisha kuwa bei ya nyama kupanda ni kutokana na soko la ng’ombe kuwa juu. Na; Sharifat Shinji Wafanya biashara wa nyama katika soko…
December 3, 2025, 5:07 pm
Madiwani wa Kata mbalimbali katika Halmashauri ya Mji Kasulu wameahidi kusimamia miradi yote ya maendeleo pamoja na kusimamia ukasanyaji wa mapato katika Halmashauri hiyo ili kuiwezesha serikali kujitegemea kupitia mapato ya ndani. Na; Sharifat Shinji Madiwani wateule katika Halmashauri ya…
December 3, 2025, 1:06 pm
Baadhi ya wananchi wa maisha ya chini wamewaomba Wafanyabiashara wa Mchele katika masoko ya Halamashauri ya Mji Kasulu kupunguza bei ya bidhaa hiyo kutokana na gharama kupanda na baadhi ya wananchi kushindwa kumudu gharama hizo. Na; Emily Adam Wafanyabiashara wa…
December 2, 2025, 11:19 pm
Wakazi wa Wilaya ya Kasulu waombwa kujenga utamaduni wa kupima afya zao mara kwa mara na kutambua mapema kama wanaishi na maambukizi ya virus vya UKIMWI ili kupata ushauri nasaaha pamoja na kuanza matumizi ya kufubaza maambukizi ya virusi hivyo.…
November 30, 2025, 10:36 pm
Kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalumu cha Center of Hope kimepokea misaada kutoka jumuiya ya watendaji wa serikali za mitaa (MEO`s) Halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma ikiwa ni sehemu ya faraja kwa watoto hao kutokana na mahitaji waliyonayo…
The Radio will be known as BUHA FM RADIO, it is devoted to serve whole Kigoma region and neighbouring area such as Katavi, Tabora, Kagera and Burundi. Our primary target will be the Refugee host area and refugee camps in Kasulu, Kibondo and Kakonko. As the community engagement process, on August 21, 2018, the Organization for Human Investment and Development (OHIDE Tanzania) and RTTS Centre (The refugee-based communication centre) in Nyarugusu Refugee Camp signed a Memorandum of Understanding to collaborate in producing local content based on refugee affairs. The agreement is based on making sure that the refugees voice is included and are well informed, educated, and entertained through Radio broadcasting. Either the goal of the project is to make sure there is a good neighbourhood between the Refugees and the host community and also support the UN agencies and partners to serve both communities in Kasulu, Kibondo, and Kakonko.
Vision
The VISION of Buha FM Radio is to see the community of Kigoma Region particularly from rural areas have access to information and increased capacity to play a meaningful role in their development through media.
Mission
The MISSION is to enable local communities to use media as a tool for enhancing participatory communication to achieve sustainable rural development.
Objectives of the Buha news and Buha Radio
The following are our objectives; –
· Enhanced access to the information within refugees and host community through the well-established Radio station
· Promoted implementation of the United Nations Sustainable Development Goals
· Reduced tension among refugees and host communities
· Reduced poverty among women and youth
· Increased cross border business integrations within the Kigoma region and neighbouring countries
· Promoted protection to girls, children, and elders
Our Activities
To engage communities in content production
· To involve Refugees and refugee-based journalists in intercultural programs and current affairs news
· Give space/cooperate with the Government, UN agencies, Development partners to debate and discuss solutions on challenges being faced by both communities
· Produce news and programs that ensuring the existence of a harmonious relationship between the refugees and the horst community to foster improved corporation, awareness, and protection issues.
· Produce information stories on peace and security news from refugee country of origin to promote voluntary repatriation (This will be part of the Go and See visit and Come and Tell method for refugees and host local village leaders)
· Promote agribusiness and environmental conservation for poverty eradication
· Promote wildlife conservation
· Promote the preservation of the indigenous culture of the Kigoma region and historical sites