Recent posts
10/03/2026, 23:31
Bugaga wanufaika na Miche 120,000 ya kahawa
“Tungependa kahawa hii imee na kusambaa katika Halmashauri yetu ya Wilaya ya Kasulu, hivyo tumieni fursa hii ambayo serikali imeitoa bure mkaitunze na msiende kuifanyia biashara badala yake mkaipande kwenye maeneo yenu”Amesema Ladislaus. Na; Mwandishi wetu Wakazi wa Kijiji cha…
10/03/2026, 22:02
Mkojo wa sungura dili kwa wakulima wa mbogamboga
“Wakulia wakitumia mkojo wa sungura kama tiba mbadala ya kuua wadudu itawasaidia kupuguza gharama za manunuzi ya kemikali na madawa kwa ajili ya kua wadudu wanaoshambulia mazao” Amesema Chiza. Na; Helbeth Barayata Wakulima wa mboga mboga katika Halmashauri ya Miji…
06/03/2026, 11:12
Polis jamii wasisitiza ushirikiano kuibua vitendo vya uhalifu
“Ili kuepuka vitendo vya uhalifu na uvunjifu wa amani ni lazima familia zitekeleze malezi bora kwa watoto wao” Amesema Insp. Lupa. Na; Irene Cherles Mkaguzi msaidizi wa jeshi la polisi ambaye ni mratibu polisi jamii Wilaya ya Kasulu Insp. Willy…
05/03/2026, 17:21
Nkubhagana ataja faida za ufugaji wa nyuki
“Ufugaji wa nyuki una faida nyingi kutokana na matumi zake kuwa mengi pia” Na; Helbeth Barayata Wananchi wa Halimashauri ya Mji kasulu mkoani Kigoma wameshauriwa kujishughurisha na ufugaji wa nyuki, uchakataji na uuzaji wa mazao yanayotokana na mazao ya asali…
25/02/2026, 19:01
Yaliyojificha malezi ya watoto katika jamii
“Watoto wamefikia sehemu wanajichukulia maamuzi yao jambo linalosababisha kuzalisha majambazi, vibaka, watoto wa mtaani jambo ambalo sio zuri na sisi kama ustawi wa jamii tunaendelea kutoa elimu katika jamii na kuwasisitiza kushirikiana katika malezi” Virginia Fredinand. Na; Emily Adam Baadhi…
11/02/2026, 08:46
Bodaboda Kasulu watakiwa kumiliki leseni za udereva
Maafisa usafirishaji katika Wilaya ya Kasulu wapewa elimu ya kufuata ili kupata leseni za udereva huku wakitaja ugumu wa maisha ni sababu ya kutokufuatilia masuala ya leseni. Na: Sharifat Shinji Maafisa Usafirishaji abiria katika Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa…
05/02/2026, 22:11
Madiwani watwishwa zigo kuzuia upotevu wa mapato Kasulu
Baada ya Madiwani wa Halmashauri ya Mji Kasulu kupitisha bilioni 43 kama bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027 wameagizwa kusimamia mianya yote inayosababisha kupotea kwa mapato katika Halmashauri hiyo. Na; Ramadhan Zaidy Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kasulu na diwani…
31/01/2026, 21:07
Madhara ya kukosa muda wa kupumzika, kusinzia
Baadhi ya Wananchi wametaja uelewa wao kuhusu madhara ya kukosa muda wa kulala au kupumuzika baada ya kazi hata hivyo miongoni mwao wameeleza jinsi wanavyopitia changamoto wakikubwa na tatizo hili la kutolala muda mrefu. Na; Paulina Majaliwa Jarida la Preventing…
31/01/2026, 14:46
Kasulu Mji kukusanya bil. 43 mwaka wa fedha 2026/2027
Halmashauri ya Mji Kasulu imejipanga kukusanya zaidi ya bilioni 40 katika mwaka wa fedha 2026/2027 ikiwa ni ongezeko la asilimia 14 kutoka bajeti ya mwaka 2025/2026. Na; Irene Charles Kaimu mkurugenzi wa Hmji Kasulu Ndg. Nurfus Aziz amesema katika mwaka…
29/01/2026, 00:07
Madiwani Kasulu waagizwa kusimamia bima ya afya kwa wote
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu wamehimizwa kusimamia maswala yote ya maendeleo ikiwemo swala la Bima ya afy kwa wote. Na; Sharifat Shinji Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Mhe. Balozi Simon Sirro, amewaagiza madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya…