Buha FM Radio

Madhara ya kukosa muda wa kupumzika, kusinzia

January 31, 2026, 9:07 pm

Chapisho la mtu mwenye mwonekano wa matatizo yaliyosababishwa na kukosa muda wa kulala au kupumzika. Picha kwa hisani ya akili mnemba (ChatGPT).

Baadhi ya Wananchi wametaja uelewa wao kuhusu madhara ya kukosa muda wa kulala au kupumuzika baada ya kazi hata hivyo miongoni mwao wameeleza jinsi wanavyopitia changamoto wakikubwa na tatizo hili la kutolala muda mrefu.

Na; Paulina Majaliwa

Jarida la Preventing Chronic Disease la mwaka 2013 Chapisho la Taasisi ya Centers for Disease Control and Prevention (CDC) inasisitiza kuwa insufficient sleep  yaani kukosa usingizi  ni tatizo kubwa la afya ya umma ambapo matokeo yake yana hatari ya magonjwa ya moyo, kisukari, shinikizo la damu, na matatizo ya akili.