Buha FM Radio
Buha FM Radio
April 24, 2025, 10:08 am

“Msongo wa Mawazo Humfanya Mama Mjamzito kushindwa kula Chakula Vizuri, Chakula ambacho ni Mhimu kwa matoto na inaweza sababisha mtoto kuzaliwa akiwa malemavu” Habibu Sasagale
Na Sharifat Shinji
Ripoti ya mwaka 2021 kupitia taasisi ya Centers for Disease Control and Prevention CDC ilitoa mwongozo kuhusu athari za msongo wa mawazo kwa mama mjawazito, ikisisitiza umuhimu wa kutambua na kushughulikia dalili za msongo wa mawazo katika kipindi cha ujauzito ili kupunguza madhara kwa mama na mtoto.