Baraka FM
Baraka FM
4 December 2025, 2:49 pm
“Tushirikiane katika kuwatumikia wananchi ili kuleta maendeleo” Na Joyce Buganda Diwani wa kata ya Nzihi Steven Mhapa amefanikiwa kutetea Nafasi ya kuwa Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Iringa kwa kura 37 kati ya kura 37 zilizopigwa huku kiti cha…
27 October 2025, 3:31 pm
“Zingatieni maadili na viapo vyenu mnapoenda kusimamia uchaguzi katika vituo vyenu” Na Fredrick Siwale Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jimbo la Mafinga Mjini Imewataka Wasimamizi na Wasimamizi Wasaidizi wa vituo vya kupigia kura kusimamia maadili na masharti ya…
23 October 2025, 10:46 am
“Nichagueni ili niwaletee huduma bora ya maji katika eneo lenu” Villa Na Fredrick Siwale Mgombea wa Ubunge Jimbo la Mafinga Mjini kupitia chama cha Mapinduzi CCM Dickson Nathan Lutevele Villa ameahidi kutatua kero ya Maji kwa wananchi wa eneo la…
14 October 2025, 10:02 am
Wakati sahihi kwa viongozi wa dini kutoa ujumbe unaowaunganisha Watanzania, badala ya maneno yanayoweza kuchochea chuki au migawanyiko. Na Ayoub Sanga Waandishi wa habari na viongozi wa dini Mkoani Iringa wametakiwa kutumia nafasi zao kuhimiza amani na umoja wa kitaifa,…
14 October 2025, 9:48 am
Kukamilika kwa ujenzi wa Soko la Machinga Complex Iringa utarasihisha wajasiriamali kufanya kazi zao kwa uhuru. Na Adelphina Kutika Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fadhili Ngajilo, amesema kukamilika kwa ujenzi wa…
24 September 2025, 10:27 am
Makala hii inaelezea Changamoto ambazo wanawake wanazipitia pindi wanapoonesha nia ya kutaka kujihusisha na masuala ya kisiasa kuelekea katika Uchaguzi Mkuu wa Octoba 2025. Na Hafidh Ally na Dorice Olambo Wakati Tanzania ikitarajiwa kuingia katika kinyang’anyanyiro cha kupata viongozi wapya…
24 September 2025, 9:49 am
“Vijana ndio hazina ya Leo hivyo wanapaswa kuchagua viongozi wanaowataka kwa maslahi Yao na Taifa” Alisema Mvamba Na Hafidh Ally Vijana Wilaya ya Iringa wameaswa kutokukubali kuathiriwa na taarifa za kupotosha zinazozagaa kwenye mitandao ya kijamii kwa lengo la kuwavunja…
20 September 2025, 4:48 pm
Moja ya taa za barabarani katika halmashauri ya manispaa ya Mpanda. Picha na Sultan Kandulu “Taa za barabarani kuwa mbovu zinaleta changamoto kwetu sisi watumiaji wa vyombo vya moto” Na Sultan Kandulu Watumiaji wa barabara mkoani Katavi wametakiwa kuchukua tahadhari…
19 September 2025, 3:39 pm
Kamanda wa polisi mkoani Kagera Blasius Chatanda ameedelea kuwataka wananchi kuacha kujichukulia sheria mkononi na kwamba wote wanaofanya uhalifu watakamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria. Amesema hayo Septemba 18. 2025 wakati akizungumzia tukio la mauaji ya hivi karibuni katika mji…
8 September 2025, 11:03 am
Katika Muendelezo wa Kampeni za kunadi sera za Chama Cha Mapinduzi CCM kwa wananchi Mkoani Iringa. Na Ayoub Sanga Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza dhamira ya Serikali yake kujenga jengo la kisasa…