Baraka FM
Baraka FM
6 October 2025, 2:30 pm
Saratani ya matiti inaweza kutibika iwapo itagundulika mapema. Njia za kuzuia ni pamoja na kujichunguza mara kwa mara, kupima kliniki, kuishi maisha yenye afya, na kuepuka vihatarishi kama vile unywaji wa pombe kupita kiasi na uvutaji wa sigara. Na Asha…
30 September 2025, 4:57 pm
Karibu msikilizaji kusikiliza igizo la sauti ya tiba linalo kujia kupitia Dodoma fm redio.
30 September 2025, 12:00 pm
Karibu kusikiliza makala maalumu kuhusu afya ya uzazi. Makala hii inaletwa kwako kupitia Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na WELL SPRING ambao wanatekeleza mradi wenye lengo la kutoa elimu na uchechemuzi juu ya afya ya…
29 September 2025, 2:13 pm
Utupaji wa taka ovyo unatajwa kuharibu mazingira kwa kiasi kikubwa kwa kusababisha taka nyingi kusambaa ovyo. Na Mariam Kasawa. Msikilizaji, leo tunazungumzia Kutotekelezwa kwa sheria ya usimamizi wa mazingira ya mwaka 2004 sura 20 kufungu cha 114-116 kumesababisha kulundikana kwa…
26 September 2025, 2:14 pm
Msikilizaji, leo tunazungumzia Kutotekelezwa kwa sheria ya usimamizi wa mazingira ya mwaka 2004 sura 20 kufungu cha 114-116 kumesababisha kulundikana kwa taka za majumbani katika mitaa ya Chanagnyikeni, Kibaoni na St Gemma katika kata ya Miyuji Jijini Dodoma. Na Mariam…
25 September 2025, 3:06 pm
Mikakati kama vile elimu ya kina ya afya ya uzazi kwa vijana, upatikanaji wa huduma rafiki za afya, na ushirikishwaji wa jamii katika kubadili mitazamo potofu kuhusu mimba za utotoni inahitajika. Na Mariam Matundu. Wazazi na walezi wana wajibu wa…
25 September 2025, 1:58 pm
Wasichana walio katika hatari kubwa ya kupata mimba wapatiwe motisha ili kuwasaidia kumaliza shule kama vile malipo ya kifedha au programu za masomo. Na Mariam Kasawa. Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Ulimwenguni WHO limetoa mwongozo mpya wa kimataifa unaolenga kuzuia…
25 September 2025, 1:32 pm
Hakuna shaka kuwa ili kufikia usawa wa kijinsia, wanawake wanahitaji kujiandaa kwa namna ya kipekee na kujipanga vizuri zaidi katika kupata nafasi za uongozi. Ingawa vyama vya siasa vimeanzisha mikakati ya kuwawezesha wanawake, bado kuna upungufu wa ufanisi katika utekelezaji…
17 September 2025, 9:16 am
Kwa mujibu wa takwimu, katika mwaka wa fedha 2024/2025 wanachama 15,000 waliandikishwa kwenye mfuko wa bima ya afya ICHF wilayani Kilosa na tangu kuanza kwa mwaka wa fedha huu wa 2025, hadi sasa, wanachama 2,590 tayari wamejiunga na kupatiwa kadi…
16 September 2025, 12:49 pm
Bado tunaendelea na mfululizo wa mchezo wa redio wa Sauti ya tiba sehemu yapili. Karibu uweze kujifunza kupitia mchezo huu ambao unalenga mambo mbalimbali yanayo ihusu jamii , mfululizo wa igizo hili unaupata kupitia Dodoma fm .