Baraka FM

afya

13 December 2025, 8:45 pm

Milion 330.7 kujenga shule mpya Nyasura

Ujenzi huo utahusisha vyumba vya  madarasa 6, jengo la utawala, vyoo matundu 18, Pamoja na vyumba viwili vya madarasa vya elimu ya awali. Na Adelinus Banenwa Kutokana na msongamano wa wanafunzi shule ya msingi Nyasura iliyopo kata ya Nyasura mjini…

4 December 2025, 9:50 pm

KNCC Wazindua Tovuti upatikanaji taarifa za uhifadhi

Uzinduzi wa tovuti ya KNCC unatarajiwa kuongeza ufanisi katika utoaji wa taarifa,uhamasishaji wa jamii, na ushirikiano baina ya wadau wa uhifadhi, huku ikirahisisha upatikanaji wa taarifa za miradi, tafiti, na shughuli mbalimbali za mtandao huo Na Katalina Liombechi Tovuti rasmi…

18 November 2025, 9:06 pm

Msaada wa CRDB waacha kicheko Manchimweru sekondari

Umekuwa ni utaratibu wa Bank hiyo kutenga asilimia moja ya faida yao kwa mwaka kuirejesha katika kusaidia jamii katika huduma mbalimbali za kijamii kama vile afya na elimu. Na Adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa umbali kutoka nyumbani hadi shule ilikuwa ikipelekea…

13 November 2025, 1:30 pm

Bei ya viazi mviringo ,chips yapaa Geita mjini

Kwasasa gunia la viazi mviringo limepanda kutoka shilingi elfu sabini na tano 75,000 hadi zaidi ya laki moja 100,000 Na Mrisho Sadick: Wafanyabiashara wa viazi mviringo katika soko la Nyankumbu mkoani Geita wameamua kupandisha bei ya bidhaa hiyo kutokana na…

27 October 2025, 8:53 pm

DC Kaminyoge: “ukimaliza kupiga kura rudi nyumbani”

Wananchi baada ya kupiga kura wanarejea majumbani mwao kwa utulivu, ili kuepusha mikusanyiko isiyo ya lazima katika maeneo ya vituo vya kupigia kura. Na Thomas Masalu Mkuu wa Wilaya ya Bunda, Mhe. Aswege Enock Kaminyoge, amewatoa hofu wananchi wa wilaya…

25 October 2025, 8:53 pm

Wakazi 143,315 kupiga kura majimbo ya Mwibara na Bunda

Waliopoteza vitambulisho vyao vya kupigia kura na majina yao yapo kwenye daftari la kudumu la mpiga kura wanayo nafasi ya kupiga kura kwa kutumia vitambulisho vyenye majina yao kama vile leseni ya udereva pass ya kusafiria au kitambulisho cha taifa…

25 October 2025, 10:01 am

Tembo afungwa kola ya GPS kudhibiti madhara

TANAPA yafunga tembo kola ya GPS katika Hifadhi ya Nyerere ili kudhibiti uharibifu wa mazao na kupunguza migogoro kati ya wanavijiji na wanyamapori. Na; Isidory Mtunda Mamlaka ya Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) imefanikiwa kumfunga kifaa maalumu cha kufuatilia mienendo…

18 October 2025, 7:41 pm

194 kati ya 238 kuhitimu kidato cha nne Bunda

Wanafunzi 195 wamesajiliwa kufanya Mtihani wa Taifa, ambapo wasichana ni 101 na wavulana 94. Na Adelinus Banenwa Jumla ya wanafunzi 195 wanatarajiwa kuhitimu masomo yao ya Kidato cha Nne mwaka 2025 katika Shule ya Sekondari Bunda Day, ambayo imefanya Mahafali…