Zenj FM

Wanawake

7 March 2024, 3:58 pm

Siku ya wanawake yaadhimishwa kwa kufanya usafi Zanzibar

“Endapo mwanamke atakuwa imara katika majukumu ya kila siku ataweza kuleta maendeleo makubwa katika jamii na nchi kwa ujumla”. Na.Mary Julius Wanawake wa Wilaya ya Kati Zanzibar wameshauriwa kuwa viongozi bora katika maeneo yao ya kazi pamoja na familia zao…