Zabibu
31 July 2024, 6:52 pm
Vumbi lahatarisha afya za wakazi Miganga
Eneo hili la Miganga lipo mita 600 tu kutoka stesheni ya SGR, je, serikali haioni changamoto hii na kuwasaidia wananchi hawa ambao wanaona wametelekezwa?. Na Mindi Joseph. Wakazi mtaa wa Miganga wamelalamika kuathirika kiafya kutokana na adha ya vumbi inayosabishwa…
6 December 2023, 12:56 pm
Zifahamu hatua za kilimo cha zabibu
Kwa nini zao la zabibu hustawi zaidi katika eneo la mkoa wa Dodoma na si maeneo mengine? Na Yussuph Hassan. Baada ya kufahamu kwa undani aina za zabibu nchi zilizotoka na njia zilizotumika pamoja na utafiti kwanini mkoa wa dodoma…
29 November 2023, 3:21 pm
Historia ya kilimo cha Zabibu
Dodoma ndio mkoa pekee unaolima Zabibu kwa wingi nchini Tanzania na hata kwa afrika mashariki ndio mkoa wenye utajiri mkubwa wa zao hili. Na Yussuph Hassan. Kilimo cha Zabibu mkoani Dodoma kina historia ndefu, ambapo kwenye miaka ya 1950 na…
6 June 2023, 5:02 pm
Wakulima wa zabibu walalamikia uhaba wa soko la uhakika
Na Mindi Joseph. Wakulima wa zao la zabibu kijiji cha Makag’wa mkoani Dodoma wamesema ukosefu wa soko la uhakika ikiwemo idadi ndogo ya viwanda vya kusindika zabibu kumechangia kurudisha nyuma maendeleo ya wakulima wa zao hilo. Wakulima hao wameeleza hayo…
17 March 2023, 4:27 pm
Juhudi za serikali kuinua kilimo na wakulima wa zabibu Dodoma
Serikali kupitia wizara ya kilimo imeanza kulifufua shamba la Zabibu lililopo eneo la Chinangali 2 mkoani Dodoma, ufufuaji wa shamba hilo unakwenda sambamba na ujenzi wa kiwanda kikubwa kwa ajili ya kuchakata zabibu hizo. Na Alfred Bulahya. Serikali kupitia wizara…