Radio Tadio

wauguzi

3 September 2026, 6:49 pm

Wanahabari Geita wajengewa uelewa kuhusu sekta ya mafuta, gesi

Mkuu wa Kitengo cha uhusiano na mawasiliano TPDC akitoa elimu kwa waandishi wa habari waliohudhuria semina. Picha na Ashura Ramadhani TPDC inaendelea kutekeleza majukumu yake katika kuhakikisha rasilimali za mafuta na gesi zinatumika kwa manufaa ya Watanzania na kuchangia ukuaji…

4 June 2026, 16:38

TASAC, NBS zasaini makubaliano sensa ya vyombo vya usafiri

Kwa mujibu wa makubaliano hayo, sensa ya Vyombo vya Usafiri Majini na Wajenzi wa Meli Tanzania Bara ya mwaka 2026/2027 inatarajiwa kutoa taarifa muhimu zitakazosaidia kuboresha usimamizi, usalama na maendeleo ya sekta ya usafiri wa majini nchini, huku ikiimarisha mchango…

4 July 2022, 13:15

Wauguzi na wakunga waaswa kuepuka kupokea rushwa

Na; Benard Filbert. Wauguzi na wakunga wameaswa kuepuka kupokea rushwa katika maeneo yao ya kazi na kuwahudumia wagonjwa kwa uaminifu ili kulinda na kutunza heshima ya taaluma hiyo. Hayo yameelezwa na Jane Mazigo mkuu wa idara ya usajili na maadili…

16 March 2022, 13:57

Watu wenye ulemavu waomba elimu juu ya umuhimu wa sensa

Na; Mariam Matundu. Watu wenye ulemavu wameiomba serikali kuwaelimisha juu ya umuhimu wa sense kwa kundi hilo ili waweze kushiriki kikamilifu kuhesabiwa pindi zoezi litakapoanza. Wakizungumza na taswira ya habari baadhi ya watu wenye ulemavu wamesema sense ni muhimu kundi…