
UWT

4 June 2024, 5:55 pm
Wakazi wa Membe wapongeza ujenzi wa bwawa
Ujenzi wa bwawa hilo limefikia asilimia 82 ambapo hatua inayoendelea ni ujenzi wa mifereji ya maji Na Victor Chigwada.Wakazi wa Kata ya Membe Wilaya ya Chamwino wameipongeza serikali kwa juhudi zinazoendelea katika ujenzi wa bwawa la kilimo cha Umwagiliaji. Wakizungumza…

23 May 2024, 5:15 pm
Kilimo cha umwagiliaji mkombozi kwa wakazi wa Ntube
Bwawa Ntube ni bwawa ambalo limekuwepo katika mtaa huo kwa miaka mingi ambapo huhifadhi maji kwa mwaka mzima bila kukaua hivyo kuwa msaada kwa wakazi wa mtaa huo. Na Mariam Kasawa.Wakazi wa mtaa wa Ntube kata ya Nkuhungu wameiomba serikali…

18 July 2023, 12:52 pm
Wanawake Bahi watakiwa kusimamia maadili ya watoto
Mbunge wa Bahi amesema kipaumbele chake ni kuhakikisha afya ya mama na mtoto inakuwa salama. Na Bernad Magawa. Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Fatuma Taufiq amewaasa wanawake wilayani Bahi kusimamia maadili ya watoto ili kutokomeza viashiria vya…

8 March 2023, 5:01 pm
UWT yaweka wazi wanawake wanavyo ogopa kuwania nafasi za uongozi
Wanawake wa kata ya Bahi wilayani Bahi wamezungumzia ushiriki mdogo wa wanawake katika nafasi mbalimbali za uongozi. Na Benard Magawa. Katika kusherehekea maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani ambayo hufanyika machi 8 ya kila mwaka, wanawake wa kata ya Bahi…

3 March 2023, 2:50 pm
UWT Bahi walipongeza Dawati la Jinsia na Watoto
Mkuu huyo ametoa wito kwa wananchi kutoa taarifa za ukatili ili kumsaidia kila mmoja kuishi kwa furaha . Na Bernad Magawa Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake Dunuani ambayo hufanyika machi 8 kila mwaka, Jumuiya ya wanawake…