
Radio Tadio
19 October 2023, 9:17 pm
Mbunge Robert Maboto ameahidi kuwafadhili vifaa vya shule wakati wa kujiunga na kidato cha Tano wanafunzi wote shule ya Sekondari Wariku na Dr. Nchimbi watakaopata daraja la kwanza katika matokeo ya kidato cha nne kwenye mtihani wa taifa unaotarajiwa kifanyika…
19 October 2023, 8:42 pm
Zaidi ya shilingi milioni kumi na saba zimeahidiwa kutolewa na mdau wa maendeleo ambae pia ni mjumbe wa mkutano mkuu wa ccm taifa Kulwa Kahabi ili kusaidia ujenzi wa jiko la kupikia chakula cha wanafunzi katika shule ya sekondari Sazira…