ubunifu
23 May 2024, 3:59 pm
Jamii yatakiwa kuweka mazingira rafiki kwenye suala la hedhi salama
siku ya hedhi salama huadhimishwa kila mwaka Mei 28. Na Mariam Matundu.Waziri wa afya ameitaka jamii na wadau kuweka mazingira rafiki kwenye suala la hedhi salama ili mwanamke aweze kutimiza majukumu yake bila kikwazo. Waziri Ummy amesema hayo wakati akitoa…
19 May 2022, 3:29 pm
Halmashauri zatakiwa kutenga maeneo maalum kwaajili ya shughuli za ubunifu
Na;Yussuph Hassan. Wito umetolewa kwa halmashauri Nchini kutenga maeneo maalum kwa ajili ya shughuli za kukuza bunifu zinazofanywa na wabunifu mbalimbali. Wito huo umetolewa na makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango katika kilele cha…
19 May 2022, 3:12 pm
Wabunifu waiomba serikali kuendelea kuwawezesha
Na;Mindi Joseph. Wabunifu wameiomba serikali kuendelea kuwawezesha ili kuendeleza Bunifu zao kutoka hatua moja kwenda nyingine kwa maendeleo ya Taifa. Taswira ya habari imezungumza na Mkufunzi wa mafunzo ya matengenzo ya ndege kutoka chuo cha taifa cha usafirishaji Juma Msofe…
23 August 2021, 1:40 pm
Familia zatakiwa kuvunja ukimya juu ya hedhi salama kwa mtoto wa kike
Na; Mariam Matundu. Imeelezwa kuwa ili kuvunja ukimya na kuwezesha upatikanaji wa hedhi salama kwa watoto wa kike ni muhimu suala hili likaanza kuzungumzwa ndani ya familia pamoja na kujumuishwa kwenye bajeti za familia. Akizungumza na taswira ya habari mdau…