
Ubadhilifu

29 January 2025, 4:01 pm
Tunawezaje kuondoa changamoto kwa msichana aliyejifungua arudi shule?
Na Seleman Kodima.Elimu ni msingi muhimu kwa maendeleo ya jamii na uchumi wa nchi yoyote. Hata hivyo, takwimu za Ofisi ya Rais Tamisemi zinaonyesha kwamba mwaka 2022, wanafunzi wa kike 66,466 wa sekondari na 81,239 wa shule za msingi waliacha…

2 November 2023, 11:51 am
Mkuu wa wilaya Kongwa awabana watendaji wa maji Mtanana
Hivi karibuni kikao hicho kilifanyika katika kata ya mtanana hii ni baada ya kubaini uwepo wa harufu ya Ubadhilifu wa Mapato yanayokusanywa kupitia Miradi ya Maji katika Kata hiyo hali iliyopelekea kushamiri kwa matumizi ya fedha mbichi. Na Mariam Kasawa.…

18 April 2023, 3:39 pm
Dc kongwa akerwa na ubadhirifu wa fedha 6,394,000/=
Katika taarifa iliyosomwa inaonyesha kiasi cha shilingi milioni 6,394,000 hazijathibitika matumizi yake NA Bernadetha Mwakilabi, Kongwa Mkuu wa wilaya ya Kongwa Mheshimiwa Remidius Mwema Emmanuel ameagiza ofisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU wilaya ya Kongwa kufanya uchunguzi juu…