
TACAIADS

29 July 2022, 1:43 pm
TACAIDS yaidhinishiwa pesa kwaajili ya miradi ya maendeleo.
Na; Alfred Bulahya. Tume ya kudhibiti UKIMWI Tanzania TACAIDS imeidhinishiwa na Bunge Shilingi Bilioni kumi na nne, milion mia tisa themanini na moja laki mbili na ishirini na nne, (14,981,224,000.00) kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika shughuli…

30 March 2022, 3:25 pm
Wananchi wahitaji Elimu juu ya zoezi la anuani za makazi
Na; Neema Shirima. Wananchi Mkoani Dodoma wameiomba serikali kutoa elimu zaidi juu ya zoezi la anuani za makazi maarufu kama postkodi ambalo linaendelea kwa sasa katika kata zote za mkoani hapa. Taswira ya habari imefika katika katika mtaa wa Itega…

30 September 2021, 12:59 pm
Viongozi wa kata watakiwa kushirikishwa ili kila eneo nchini lipate anuani ya ma…
Na; Alfred Bulahya. Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt.Ashatu Kijaji amewataka Mameya,Wenyeviti na Wakurugenzi kuwashirikisha madiwani,watendaji wa kata vijiji na mitaa ili kuhakikisha kila eneo nchini linakuwa na anwani ya makazi. Amesema Wizara yake imejipanga kuhakikisha kuwa…