
Radio Tadio
23 February 2024, 5:38 pm
Mafunzo hayo kwa walimu wa elimu ya awali yana lengo la kuhalalisha elimu ya awali kuwa bora kwa mkoa mzima wa Dodoma. Na Mariam Kasawa. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Prof.James Mdoe amewataka walimu wa madarasa…
13 February 2023, 4:32 pm
Na Erick Mallya Wadau mbalimbali wa mazingira wilayani Pangani Mkoani Tanga wamelishukuru shirika la UZIKWASA kwa kuanza kutoa mafunzo ya masuala ya mabadiliko ya tabia nchi pamoja na utunzaji wa mazingira wilayani humo. Kuanzia Februari 7 mpaka 10 shirika hilo…