Radio Tadio

Swaswa

20 Machi 2026, 17:12

Vijana Ndogowe washindwa kuanzisha vikundi mikopo ya asilimia 10

Muhawi ameongeza kuwa wengi wao wamekuwa na wasiwasi wa kutokuaminiana kwenye vikundi . Na Victor Chigwada. Mwitikio mdogo wa vijana katika kuanzisha vikundi katika kijiji cha Ndogowe wilayani Chamwino umepelekea vijana kushindwa kunufaika na mikopo ya asilimia kumi inayo tolewa…