Radio Tadio

Surua

11 March 2025, 12:58 pm

Royal tour, amazing Tanzania zaongeza idadi ya watalii nchini

Mapato ya shilingi bilioni 693.959 yamekusanywa na kuingia katika Mfuko Mkuu wa Serikali. Na Alfred Bulahya.Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro(NCAA) imesema takwimu zinazoonesha kuwa juhudi za Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kupitia filamu za Royal Tour na Amaizing Tanzania…

27 April 2023, 3:41 pm

Yafahamu matibabu ya Ugonjwa wa surua

Mratibu wa Huduma za Chanjo Halmashauri ya Jiji la Dodoma Victor Kweka leo anazungumzia matibabu ya ugonjwa huo. Yussuph Hassan. Bado tunaendelea kufahamu kwa kina juu ya ugonjwa wa surua, ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Ugonjwa wa surua unaweza kumpata…

25 April 2023, 4:58 pm

Dalili za ugonjwa wa Surua

Ugonjwa wa surua unaweza kumpata mtu wa rika lolote, husababishwa na virusi vinavyosambazwa kwa matone madogo hewani baada ya mtu mwenye surua kukohoa au kupiga chafya. NaYussuph Hassan. Surua ni ugonjwa unaosababishwa na virusi ambapo inaelezwa kuwa dalili zake zinaweza…

24 April 2023, 1:49 pm

Ufahamu ugonjwa wa surua na maambukizi yake

Ugonjwa huu husababishwa na virusi vinavyosambazwa kwa matone madogo hewani baada ya mtu mwenye surua kukohoa au kupiga chafya. Na Yussuph Hassan. Surua ni ugonjwa unaosababishwa na virusi. Ugonjwa wa surua unaweza kumpata mtu wa rika lolote. Mratibu wa Huduma…