SIMANJIRO
20 January 2024, 1:46 pm
Nini chanzo cha idadi ndogo ya wanafunzi kidato cha kwanza kata ya Terrat?
Waliohudhuria shuleni ni wengi lakini si wote kwani waliofaulu wote wanatakiwa kuripoti shule. Na Mwandishi wetu. Ni wiki ya pili sasa tangu wanafunzi wa kidato cha kwanza kutakiwa kuripoti shuleni nchi nzima kwa shule ya sekondari Terrati wilaya ya Simanjiro…
3 January 2024, 11:41 am
DC Serera aagiza TAKUKURU kuwachukulia hatua waliouza ardhi ya kijiji Loiborsire…
“Jitihada hizi shirikishi zitachangia kuboresha usimamizi mzuri wa ardhi ya Vijiji na hatimaye itumike kwa maslahi ya Vijiji na Wananchi na si kwa Watu wachache wenye kujilimbikizia ardhi kinyemela bila kuiendeleza.” Dkt.Suleiman Serera ameandika katika ukurasa wake wa mtandao wa…
19 June 2023, 6:30 pm
Miradi ya maendeleo kata ya Naberera inayotekelezwa na Serikali yafikia patamu.
Serikali ya jamuhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kutekeleza miradi chungumzima kama vile ya maji,shule na mingine. Na Isack Dickson Kata ya Naberera inapatikana katika wilaya ya Simanjiro mkoa wa Manyara na ni umbali…