Radio Tadio

saikolojia

8 September 2022, 7:25 pm

Vijana Washauriwa Kutofanya Maamuzi Mabaya

KATAVI Vijana mkoani Katavi wameshauriwa kutofanya maamuzi mabaya  pindi wanapogubikwa na changamoto na badala yake waombe ushauri kwa watu wanaowazunguka. Hayo yamesemwa na baadhi ya vijani mkoani hapa wakati wakizungumza na mpanda radio fm wamesema athari za matatizo ya kisaikolojia…