ruzuku
7 July 2026, 9:00 am
Uwepo ofisi ya wenye ulemavu Bunda kuwa “mwarobaini”
Kutokuwa na ofisi kunawalazimu watu wenye ulemavu kuzunguka sehemu mbalimbali wanapotafuta msaada Na Edward Lucas Viongozi wa watu wenye ulemavu Wilaya ya Bunda wamesema upatikanaji wa ofisi maalumu utarahisisha utoaji wa huduma kwa wanachama wao, ikiwemo kupokea malalamiko ya ukatili,…
29 June 2026, 08:21
World Vision yatoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwa watoto Kakonko
Elimu kuhusu ukatili ni sehemu muhimu ya kulinda usalama, afya, na ustawi wa watoto na inapaswa kutolewa kwa lugha na mbinu zinazolingana na umri wa mtoto kwa mazingira yanayowafanya wajisikie salama kuuliza maswali na kutoa taarifa wanapohitaji msaada Na Mwandishi…
25 May 2026, 4:51 pm
Jeshi la zimamoto na uokoaji wilaya lapata vitendea kazi
Kaimu mkuu wa wilaya ya Babati ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Kiteto Remidius Mwema , amewataka viongozi wa jeshi la zima moto na uokoaji wilayani Babati mkoani Manyara kutoa elimu kwa wananchi namna ya kukabiliana na majanga kwa…
20 November 2025, 5:16 pm
Hii hapa sababu ya vifo vya wavuvi Chato kupungua
Mamlaka za usalama majini zimeahidi kuendelea na ukaguzi wa mara kwa mara, kutoa mafunzo na kusisitiza matumizi ya vifaa vya usalama majini. Na Mrisho Sadick: Vifo vitokanavyo na ajali za majini wilayani Chato Mkoani Geita vimepungua kwa asilimia kubwa baada…
10 May 2022, 15:57
Serikali yatoa ruzuku kwaajili ya kupunguza bei ya mafuta
Na;Yussuph Hassan. Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Serikali imetoa ruzuku ya Sh100 bilioni kwa ajili ya kupunguza bei ya mafuta nchini. Akiwasilisha taarifa ya serikali leo bungeni jijini Dodoma, Waziri wa Nishati, January Makamba amesema ruzuku hiyo inatolewa kwa…
9 August 2021, 13:46
Maji yapelekea baadhi ya wakazi wa kata ya Nkuhungu kuyakimbia makazi yao
Na; Fedrick Lukasho. Wananchi wa kata ya Nkuhungu katika mitaa ya Mnyakongo ,Bochela, Mtube na Salama Jijini Dodoma wameiomba Serikali kutatua changamoto ya maji kutuama kwa muda mrefu katika makazi yao. Wakizungumza na Dodoma FM Radio kwa nyakati tofauti baadhi…